Mshika remote huyo tunamjua ni bilionea
Kwa mikopo hii ya kukatwa miaka 6 au! Na mshahara unao ongezeka elfu 10 kila baada ya miaka mitatu.!Baba yako ana mahekalu mangapi.hivi mwalimu anaweza kujenga hilo hekalu?
Hakika ni mbinu za kisiasa za kupumbaza wajinga.Alikuwa anaigiza tu,ili ionekane ni mwenzao,bashungwa kule kwao alienda kuchukua fomu na toyota carina namba A
Nilimsikia Jesca Magufuli akisema kuwa maisha yao wamesoma dumu fagioHakika ni mbinu za kisiasa za kupumbaza wajinga.
Kuna mwingine nilimuona na kipickup kimechoka wakati nazifahamu gari zake za thamani.
We ng'ombe hebu tulia wewe. Nikikosa nini? Unahisi nilivyonavyo hata robo unaweza fikia wewe?W
Walokole bwana, wewe utaenda na umaskini wako? mkikosa mnaona waliopata ni wenye dhambi, sijui kama mbinguni mtafika nyie.
Tuendelee kudunduliza mkuu tutafika tu ingawa tutakuwa tumechoka sana...Current situation 😎
View attachment 3436167
kabisa si unaona kwa pembeni hapo nimeanza msingi wa my dream house.Tuendelee kudunduliza mkuu tutafika tu ingawa tutakuwa tumechoka sana...
Wahuni walitembea na huo mzigo. Matibabu ilikuwa ni chanel tu.Kama alitibiwa kwa bil 26 means huyo alikuwa anaiba hela sana
Zamani nikijua bado yuko Area C
Kumbe alishahama
Hekalu jipya lina hadi round about
Kama siasa zinalipa hivi wataendelea kututeka mpaka kiamaView attachment 3436168View attachment 3436168
hyo hela haina maana kama mtoto kafubaa vleKuwa na mtoto ni kitu kingine lakin ukaribu wa mzazi na mtoto ni ishu nyingine pia
kibanda chako cha nyasi uweshaweka utaratibu wa kuzikwa nacho?Vipi hilo hekalu kuna utaratibu wa kuzikwa nalo au litabaki hapahapa duniani?
Haina maana kwa mtazamo wako, anawatoto wengi na sio huyo mmoja tu. Once again ukaribu wa mzazi na mtoto ndio uta determine umuhimu else hakutakuwa na ukaribuhyo hela haina maana kama mtoto kafubaa vle
Tutaanza kutekwa kwa mafungu mafungu sasa hivi mmoja haitoshiTatizo zaidi wanabaka au kuua kabisa.
Hakika.Nilimsikia Jesca Magufuli akisema kuwa maisha yao wamesoma dumu fagio
Ukifatlia ni uongo
Elewa mantiki ya swali ndipo ujibu.kibanda chako cha nyasi uweshaweka utaratibu wa kuzikwa nacho?
Nyumba ingekuwa mbovu angekula madongo pia 😄Mbona kawaida
Mke anajielewaNyumba kama hotel.muda sio mrefu litapigwa mnada kwa ugomvi wa familia.