Hekalu la Job Ndugai kweli siasa inalipa, nimejiona masikini kweli

Hekalu la Job Ndugai kweli siasa inalipa, nimejiona masikini kweli

Dude hilo la kiwango chake ,kuyaendesha lazima uwe juu kidogo . Kama una pesa za mawazo ,umeme tu unaweza kukushinda .

Taa kila kona ,sema bongo wajanja sana hawawezi hata lift ya urembo 😅
 
Kwa afrika, siasa ni eneo la kuvuna bila jacho...
Nchi za Asia na Ulaya ,kama ukiwa kiongozi basi roho mkononi .. Wanasiasa kwenye nchi hizo ni kama watuhumiwa ,muda wowote wanaweza kuwajibishwa na kupewa hukumu kali.

Ila Afrika ni kuvuna tu .
 
Ameshindwa kuweka dirisha za mbao??
 
W
Hamna lolote hata usijisikie vibaya. Si unaona kaondoka kaliacha? Haya mavitu hayana ishu muhimu ni usafi wa moyo tu matendo mema duniani
Walokole bwana, wewe utaenda na umaskini wako? mkikosa mnaona waliopata ni wenye dhambi, sijui kama mbinguni mtafika nyie.
 
Mambo yote haya ni ubatili mtupu.

Unajenga hekalu ....kubwa lote hilo ili iweje
 
W
Walokole bwana, wewe utaenda na umaskini wako? mkikosa mnaona waliopata ni wenye dhambi, sijui kama mbinguni mtafika nyie.
Yupo sahihi kwakuwa hilo hekalu limemsaidia nini anaharibu hela badala ya Ku-give back to community
 
Kwa hadhi yake hiyo ni ya kawaida tu.Hivi unaijua ya mshika remote wa Sasa?ukiiona ya mshika remote utashangaa zaidi
 
Hata usipokuwa mwanasiasa yaani ufanyekazi miaka zaidi ya 30ushindwe kujenga hekalu huo ni upuuzi na uzembe
Baba yako ana mahekalu mangapi.hivi mwalimu anaweza kujenga hilo hekalu?
 
Back
Top Bottom