Hekima imuelekeze Mbowe kujiepusha na midahalo holela, badala yake ajikite kumobilize wajumbe wa mkutano mkuu ili apate ushindi wa kishindo kwa haki

Achana na mambo ya CHADEMA. Kamshauri mwenyekiti wa CCM a true Makamu Mwenyekiti
zingatia maelezo, uchambuzi na ufafanuzi wa kitaalamu gentleman, itakusaidia sana 🐒
 
Gentleman,
hao wamarekani walikua wanafanya midahalo ya kugombea uongozi wa nafasi gani kwenye chama cha republican?

hata hivyo,
visionary leaders kama Trump na hata MBOWE wanapima mantiki ya mdahalo ndipo wanashiriki,

lakini,
huu mjadala wa eti kibaraka na mbowe ni completely useless 🐒
Nitamshangaa sana Mbowe akigomea mdahalo.
 
Hakuna haja wala sababu ya maana au ya msingi hata moja kwa Freeman Mbowe kupoteza muda wake na kushiriki midahalo ambayo ni wazi ina ushari ndani yake, na isiyo na tija wala maana yoyote, badala yake aelekeze nguvu na jitihada zake za kisiasa kucosolidate strong holds zake za wajumbe na kumobilize wajumbe wa mkutano mkuu Taifa, na kujipanga nao vizuri ili hatimae kujihakikishia ushindi wa uhakika, wa kishindo kwa uhuru, haki na uwazi.

Zaidi sana,
Ajiandae na maandalizi mengine muhimu mathalani, ya kuweka vipaumbele vya mambo muhimu ambayo atayaweka wazi mkutanoni, siku ya kujieleza wakati wa kuomba kura, mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa, ambao ndio waamuzi wa mwisho wa nani awe kiongozi wa Chadema Taifa.

My friends ladies and gentlemen, Je,
mdahalo huo unaopendekezwa una faida gani hasa, na ni kwa maslahi ya nani, wakati wagombea wana nafasi na fursa ya kujieleza kikamilifu mbele ya wajumbe zaidi ya 1000, wa mkutano mkuu wa chadema Taifa siku ya uchaguzi?

mbona kama kuna dalili za kishirikina? mnataka kumroga chairman ee, au kufurahisha mabenyenye ya magharibi yanayomfadhili Kibaraka?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Unafaida nyingi sana kwanza kujua ni kwa kipindi gani amekuwa akitutanguliza sokoni,na kwanini tumeng'amua na bado anataka kututanguliza marikiti.Je ataweza kuzijibu hoja juu ya covid 19.Je anatuambia ni juu ya 4r's zituingie akilini?
 
Mbowe Hana cha kuongea, na anajua kila ambacho ataongea kitajibiwa na Hali itakuwa ngumu Sana kwake

By the way mbowe atashinda, na atashinda because mfumo wa serikali unamtaka Mbowe, na sio lissu

Inchi imetulia hakuna maandamano hakuna matamko, sasa obviously akiingia lissu mambo ya Ile chadema ya zaman utarudi

So lazima mfumo ufanye anything ili mbowe arudi kwenye kiti chake cha enzi

Ila kama tunataka siasa za upinzani then Mbowe hafai tena

Ila kama tunataka upinzani kama wa chauma then Mbowe is the best
 
Yeye ni Mwamba kama mnavyompamba. Kwa nini kwenye issue ya mdahalo mnakuwa wapole na mnaandaa mazingira ya kukimbia?
Narudia tena, kitendo cha kukimbia mdahalo ni kuwathibitishia wajumbe kuwa hana tena uwezo wa kuongoza chama, hivyo wamchague mwingine.
unakwenda kwenye mdahalo kujieleza kwa nani gentleman?🤣

powerful politician with powerful mind and visionary mindset, hawezi kupoteza muda eti kujadiliana na looser bila manufaa yoyote 🐒

kushawishi wajumbe na kujieleza mbele ya wajumbe, huo ndio mdahalo wa maana na wenye tija na si vinginevyo 🐒
 
Kwa hiyo kwa maoni unataka kuuambia ulimwengu kwamba midahalo haina maana yoyote?

Kwa akili hiyo, siku CCM wakitaka mfanye mdahalo wa wazi ninyi mtakimbia. Mpaka hapo tu, ni kyonesha udhaifu.
 
Hakuna haja wala sababu ya maana au ya msingi hata moja kwa Freeman Mbowe kupoteza muda wake na kushiriki midahalo ambayo ni wazi ina ushari ndani yake, na isiyo na tija wala maana yoyote, badala yake aelekeze nguvu na jitihada zake za kisiasa kucosolidate strong holds zake za wajumbe na kumobilize wajumbe wa mkutano mkuu Taifa, na kujipanga nao vizuri ili hatimae kujihakikishia ushindi wa uhakika, wa kishindo kwa uhuru, haki na uwazi.

Zaidi sana,
Ajiandae na maandalizi mengine muhimu mathalani, ya kuweka vipaumbele vya mambo muhimu ambayo atayaweka wazi mkutanoni, siku ya kujieleza wakati wa kuomba kura, mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa, ambao ndio waamuzi wa mwisho wa nani awe kiongozi wa Chadema Taifa.

My friends ladies and gentlemen, Je,
mdahalo huo unaopendekezwa una faida gani hasa, na ni kwa maslahi ya nani, wakati wagombea wana nafasi na fursa ya kujieleza kikamilifu mbele ya wajumbe zaidi ya 1000, wa mkutano mkuu wa chadema Taifa siku ya uchaguzi?

mbona kama kuna dalili za kishirikina? mnataka kumroga chairman ee, au kufurahisha mabenyenye ya magharibi yanayomfadhili Kibaraka?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Hili ndio neno la Leo,lenye hekima na busara
 
Wajumbe wako Kanda ya Kaskazini wanakula Xmas na mwaka mpya! Wakirudi makwao,ni kwenda kumchinjia mnyatur... Baharini.
 
Kwa hiyo kwa maoni unataka kuuambia ulimwengu kwamba midahalo haina maana yoyote?

Kwa akili hiyo, siku CCM wakitaka mfanye mdahalo wa wazi ninyi mtakimbia. Mpaka hapo tu, ni kyonesha udhaifu.
Gentleman,
umesoma vizuri na kuelewa hoja mahususi ya msingi pamoja na maelezo ya ziada kwenye replies? au nawe ni wale wa kuamua na kuhitimisha mambo jumla jumla dhidi ya mambo ambayo ni specific kabisa?

Lazima kushiriki midahalo with merities sio kujiendea endea tu 🐒
 
Midahalo ni nyenzo muhimu katika jamii na inaweza kuwa na faida nyingi, lakini pia kuna changamoto ambazo zinapaswa kuzingatiwa. Hapa kuna uchambuzi wa faida na hasara za midahalo:

Faida za Midahalo

1. Ushirikiano na Maelewano:
- Midahalo inawezesha watu kujadiliana na kuelewana, hivyo kujenga mazingira ya ushirikiano.

2. Kujifunza na Kubadilishana Mawazo:
- Washiriki wanapata fursa ya kujifunza kutoka kwa wengine, kubadilishana mawazo na mtazamo tofauti.

3. Kukuza Uelewa wa Kijamii:
- Inachangia katika kukuza uelewa wa masuala mbalimbali ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi.

4. Kukuza Ustaarabu wa Kisiasa:
- Midahalo husaidia katika kukuza ustaarabu wa kisiasa, ambapo watu wanaweza kukosoana bila vurugu.

5. Kuchochea Mabadiliko:
- Wakati wa midahalo, masuala ambayo hayajashughulikiwa yanaweza kuibuliwa, kuchochea mjadala wa mabadiliko katika jamii.

Hasara za Midahalo

1. Mizozo na Mgawanyiko:
- Midahalo inaweza kusababisha mizozo na mgawanyiko kati ya washiriki, hasa ikiwa kuna tofauti kubwa za mawazo.

2. Muda na Rasilimali:
- Midahalo yanaweza kuchukua muda mwingi na rasilimali, ambayo yanaweza kutumika kwa njia nyingine zaidi za ufanisi.

3. Kubeba Viongozi Wanaoshindwa:
- Katika baadhi ya matukio, midahalo inaweza kukosa matokeo chanya ikiwa viongozi wanashindwa kutekeleza maamuzi yanayotokana na majadiliano.

4. Kukosa Uwakilishi:
- Ikiwa washiriki wa midahalo hawawakilishi kikamilifu jamii nzima, maamuzi yanaweza kuwa na upungufu wa mtazamo wa jumla.

5. Kukosekana kwa Usawa:
- Wakati mwingine, baadhi ya sauti zinaweza kutolewa kando, na kuacha baadhi ya masuala muhimu yasijazwi.
 
Mbowe Hana cha kuongea, na anajua kila ambacho ataongea kitajibiwa na Hali itakuwa ngumu Sana kwake

By the way mbowe atashinda, na atashinda because mfumo wa serikali unamtaka Mbowe, na sio lissu

Inchi imetulia hakuna maandamano hakuna matamko, sasa obviously akiingia lissu mambo ya Ile chadema ya zaman utarudi

So lazima mfumo ufanye anything ili mbowe arudi kwenye kiti chake cha enzi

Ila kama tunataka siasa za upinzani then Mbowe hafai tena

Ila kama tunataka upinzani kama wa chauma then Mbowe is the best
Gentleman,
dhana ya mfumo itakutesa mpaka ukamilifu wa dahari my friend..

kama mfumo wa chama Fulani unakutesa si uanzishe mfumo wako sasa? yaani wewe unataka chama Fulani kiache mfumo wake na kifuate mfumo wako right?🤣

eti mbowe kila atakachokiongea kitajibiwa, wewe ulitaka kifanywaje sasa kwa mfano?🤣

uliwahi kukuta mwanasiasa hana jibu na swali lolote?

mbowe atashinda uchaguzi ndani ya chadema kwasabb ana nguvu, anakubalika, anaaminika, ana ushawishi na ana watu wengi zaidi ya mtu mwingine ndani ya chadema.

Na kwahivyo mdahalo with no advantage kwake ni completely useless 🐒
 
Gentleman,
umesoma vizuri na kuelewa hoja mahususi ya msingi pamoja na maelezo ya ziada kwenye replies? au nawe ni wale wa kuamua na kuhitimisha mambo jumla jumla dhidi ya mambo ambayo ni specific kabisa?

Lazima kushiriki midahalo with merities sio kujiendea endea tu 🐒
Ndo maana nimeuliza, Mbowe kufanya mdahalo na Lissu hakuna merits zozote?
Ipo hivi, wajumbe wanapokwenda kumchagua Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa wanatokana na watu, kwa hiyo ni vema kufanya mdahalo kabla ya uchaguzi ili hata wale wanachama ambao hawatakwenda kufanya uchaguzi wa Mwenyekiti wapate nafasi ya kuwapima Wagombea kwa kusikiliza hoja zao hadharani ili wawe na neno la kuwaelekeza wajumbe wanaotakiwa kwenda kumchagua Mwenyekiti. Ikumbukwe Mwenyekiti atakayechaguliwa si Mwenyekiti wa wale wajumbe tu waliomchagua bali atakuwa Mwenyekiti wa wanachama wote wa CDM.
 
Unafaida nyingi sana kwanza kujua ni kwa kipindi gani amekuwa akitutanguliza sokoni,na kwanini tumeng'amua na bado anataka kututanguliza marikiti.Je ataweza kuzijibu hoja juu ya covid 19.Je anatuambia ni juu ya 4r's zituingie akilini?
Genteman,
nadhani ni muhimu sana wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema wakamuuliza mgombea na nadhani huo ndio utakua mdahalo wenye maana na afya zaidi na si viginevyo 🐒
 
Hakuna haja wala sababu ya maana au ya msingi hata moja kwa Freeman Mbowe kupoteza muda wake na kushiriki midahalo ambayo ni wazi ina ushari ndani yake, na isiyo na tija wala maana yoyote, badala yake aelekeze nguvu na jitihada zake za kisiasa kucosolidate strong holds zake za wajumbe na kumobilize wajumbe wa mkutano mkuu Taifa, na kujipanga nao vizuri ili hatimae kujihakikishia ushindi wa uhakika, wa kishindo kwa uhuru, haki na uwazi.

Zaidi sana,
Ajiandae na maandalizi mengine muhimu mathalani, ya kuweka vipaumbele vya mambo muhimu ambayo atayaweka wazi mkutanoni, siku ya kujieleza wakati wa kuomba kura, mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa, ambao ndio waamuzi wa mwisho wa nani awe kiongozi wa Chadema Taifa.

My friends ladies and gentlemen, Je,
mdahalo huo unaopendekezwa una faida gani hasa, na ni kwa maslahi ya nani, wakati wagombea wana nafasi na fursa ya kujieleza kikamilifu mbele ya wajumbe zaidi ya 1000, wa mkutano mkuu wa chadema Taifa siku ya uchaguzi?

mbona kama kuna dalili za kishirikina? mnataka kumroga chairman ee, au kufurahisha mabenyenye ya magharibi yanayomfadhili Kibaraka?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Nchi yetu Ina wajinga wengi sana. Wewe ni ishara ya wajinga tulio nao. Ni hasara kwa wazazi wako kwa kuzaa tahira. Wangelijua wanapeleka ng'ombe shuleni wasingeuza ng'ombe kusomesha ng'ombe.
 
Ndo maana nimeuliza, Mbowe kufanya mdahalo na Lissu hakuna merits zozote?
Ipo hivi, wajumbe wanapokwenda kumchagua Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa wanatokana na watu, kwa hiyo ni vema kufanya mdahalo kabla ya uchaguzi ili hata wale wanachama ambao hawatakwenda kufanya uchaguzi wa Mwenyekiti wapate nafasi ya kuwapima Wagombea kwa kusikiliza hoja zao hadharani ili wawe na neno la kuwaelekeza wajumbe wanaotakiwa kwenda kumchagua Mwenyekiti. Ikumbukwe Mwenyekiti atakayechaguliwa si Mwenyekiti wa wale wajumbe tu waliomchagua bali atakuwa Mwenyekiti wa wanachama wote wa CDM.
maana yake hakuna haja ya kua na wajumbe sasa gentleman,

kama wajumbe hawafanyi vikao kujadiliana na kuamua uelekeo wao huko kwenye maeneo yao then patakua hakuna uwajibikaji hapo,

ni muhimu kuheshimu akidi, ni muhimu zaidi kuiamini akidi kwasabb lengo la hiyo ni kuondoa ufinyu wa ushiriki wa wadau katika maamuzi🐒
 
Sawa, mkuu. Lakini kufanya mdahalo kuna hasara gani?
 
well and good,
basi ni muhimu zaidi ukipata nafasi ufuatilie vyema jambo hili, vinginevyo zingatia maelezo mafupi ya msingi kwenye hoja mahususi mezani 🐒
Gentleman wewe unajita mchambuzi wa siasa ndani na nje? Hiyo inaleta awareness kwa wapiga kura, vile vile inapima uwezo wa mtu kuijieleza mbele ya uma na sio mbele ya wajumbe, lakin pia inakuza democrasia ndani na nje ya CHAMA, kama ccm inavyokimbia mdahalo, naanza kupata wasiwasi uwezo wako wa uchambuzi kama haujui faida za midahalo
 
Hakuna haja wala sababu ya maana au ya msingi hata moja kwa Freeman Mbowe kupoteza muda wake na kushiriki midahalo ambayo ni wazi ina ushari ndani yake, na isiyo na tija wala maana yoyote, badala yake aelekeze nguvu na jitihada zake za kisiasa kucosolidate strong holds zake za wajumbe na kumobilize wajumbe wa mkutano mkuu Taifa, na kujipanga nao vizuri ili hatimae kujihakikishia ushindi wa uhakika, wa kishindo kwa uhuru, haki na uwazi.

Zaidi sana,
Ajiandae na maandalizi mengine muhimu mathalani, ya kuweka vipaumbele vya mambo muhimu ambayo atayaweka wazi mkutanoni, siku ya kujieleza wakati wa kuomba kura, mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa, ambao ndio waamuzi wa mwisho wa nani awe kiongozi wa Chadema Taifa.

My friends ladies and gentlemen, Je,
mdahalo huo unaopendekezwa una faida gani hasa, na ni kwa maslahi ya nani, wakati wagombea wana nafasi na fursa ya kujieleza kikamilifu mbele ya wajumbe zaidi ya 1000, wa mkutano mkuu wa chadema Taifa siku ya uchaguzi?

mbona kama kuna dalili za kishirikina? mnataka kumroga chairman ee, au kufurahisha mabenyenye ya magharibi yanayomfadhili Kibaraka?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Wewe kila siku na mambo ya CHADEMA, hivi mbona huzungumzii Nafasi ya makamu Mwenyekiti huko CCM kuwa wazi kwa miezi zaidi ya mitano??

Nikikuita KENGE utanilaumu???
 
Genteman,
nadhani ni muhimu sana wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema wakamuuliza mgombea na nadhani huo ndio utakua mdahalo wenye maana na afya zaidi na si viginevyo 🐒
Mdahalo wa wazi tena hata mitatu ili akina Tlaatlaah wasiwe visemeo/vipaza vya Watanzania na Wanachadema.Wasikie kama mwamba atatuvusha au anatuzamisha,pia Wa tz tujue jinsi TL atakavyo tuvusha na jinsi alivyoibua kutuzamisha kwa mwamba,wanamboga mboga wanavyo penyeza rupia ili Mwamba na mamluki watuzamishe wazamisha Watanzania.
 
Kabisaa.
 
Back
Top Bottom