Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitamshangaa sana Mbowe akigomea mdahalo.Gentleman,
hao wamarekani walikua wanafanya midahalo ya kugombea uongozi wa nafasi gani kwenye chama cha republican?
hata hivyo,
visionary leaders kama Trump na hata MBOWE wanapima mantiki ya mdahalo ndipo wanashiriki,
lakini,
huu mjadala wa eti kibaraka na mbowe ni completely useless 🐒
Unafaida nyingi sana kwanza kujua ni kwa kipindi gani amekuwa akitutanguliza sokoni,na kwanini tumeng'amua na bado anataka kututanguliza marikiti.Je ataweza kuzijibu hoja juu ya covid 19.Je anatuambia ni juu ya 4r's zituingie akilini?Hakuna haja wala sababu ya maana au ya msingi hata moja kwa Freeman Mbowe kupoteza muda wake na kushiriki midahalo ambayo ni wazi ina ushari ndani yake, na isiyo na tija wala maana yoyote, badala yake aelekeze nguvu na jitihada zake za kisiasa kucosolidate strong holds zake za wajumbe na kumobilize wajumbe wa mkutano mkuu Taifa, na kujipanga nao vizuri ili hatimae kujihakikishia ushindi wa uhakika, wa kishindo kwa uhuru, haki na uwazi.
Zaidi sana,
Ajiandae na maandalizi mengine muhimu mathalani, ya kuweka vipaumbele vya mambo muhimu ambayo atayaweka wazi mkutanoni, siku ya kujieleza wakati wa kuomba kura, mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa, ambao ndio waamuzi wa mwisho wa nani awe kiongozi wa Chadema Taifa.
My friends ladies and gentlemen, Je,
mdahalo huo unaopendekezwa una faida gani hasa, na ni kwa maslahi ya nani, wakati wagombea wana nafasi na fursa ya kujieleza kikamilifu mbele ya wajumbe zaidi ya 1000, wa mkutano mkuu wa chadema Taifa siku ya uchaguzi?
mbona kama kuna dalili za kishirikina? mnataka kumroga chairman ee, au kufurahisha mabenyenye ya magharibi yanayomfadhili Kibaraka?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Hakuna haja wala sababu ya maana au ya msingi hata moja kwa Freeman Mbowe kupoteza muda wake na kushiriki midahalo ambayo ni wazi ina ushari ndani yake, na isiyo na tija wala maana yoyote, badala yake aelekeze nguvu na jitihada zake za kisiasa kucosolidate strong holds zake za wajumbe na kumobilize wajumbe wa mkutano mkuu Taifa, na kujipanga nao vizuri ili hatimae kujihakikishia ushindi wa uhakika, wa kishindo kwa uhuru, haki na uwazi.
Zaidi sana,
Ajiandae na maandalizi mengine muhimu mathalani, ya kuweka vipaumbele vya mambo muhimu ambayo atayaweka wazi mkutanoni, siku ya kujieleza wakati wa kuomba kura, mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa, ambao ndio waamuzi wa mwisho wa nani awe kiongozi wa Chadema Taifa.
My friends ladies and gentlemen, Je,
mdahalo huo unaopendekezwa una faida gani hasa, na ni kwa maslahi ya nani, wakati wagombea wana nafasi na fursa ya kujieleza kikamilifu mbele ya wajumbe zaidi ya 1000, wa mkutano mkuu wa chadema Taifa siku ya uchaguzi?
mbona kama kuna dalili za kishirikina? mnataka kumroga chairman ee, au kufurahisha mabenyenye ya magharibi yanayomfadhili Kibaraka?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
unakwenda kwenye mdahalo kujieleza kwa nani gentleman?🤣Yeye ni Mwamba kama mnavyompamba. Kwa nini kwenye issue ya mdahalo mnakuwa wapole na mnaandaa mazingira ya kukimbia?
Narudia tena, kitendo cha kukimbia mdahalo ni kuwathibitishia wajumbe kuwa hana tena uwezo wa kuongoza chama, hivyo wamchague mwingine.
Kwa hiyo kwa maoni unataka kuuambia ulimwengu kwamba midahalo haina maana yoyote?unakwenda kwenye mdahalo kujieleza kwa nani gentleman?🤣
powerful politician with powerful mind and visionary mindset, hawezi kupoteza muda eti kujadiliana na looser bila manufaa yoyote 🐒
kushawishi wajumbe na kujieleza mbele ya wajumbe, huo ndio mdahalo wa maana na wenye tija na si vinginevyo 🐒
Hili ndio neno la Leo,lenye hekima na busaraHakuna haja wala sababu ya maana au ya msingi hata moja kwa Freeman Mbowe kupoteza muda wake na kushiriki midahalo ambayo ni wazi ina ushari ndani yake, na isiyo na tija wala maana yoyote, badala yake aelekeze nguvu na jitihada zake za kisiasa kucosolidate strong holds zake za wajumbe na kumobilize wajumbe wa mkutano mkuu Taifa, na kujipanga nao vizuri ili hatimae kujihakikishia ushindi wa uhakika, wa kishindo kwa uhuru, haki na uwazi.
Zaidi sana,
Ajiandae na maandalizi mengine muhimu mathalani, ya kuweka vipaumbele vya mambo muhimu ambayo atayaweka wazi mkutanoni, siku ya kujieleza wakati wa kuomba kura, mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa, ambao ndio waamuzi wa mwisho wa nani awe kiongozi wa Chadema Taifa.
My friends ladies and gentlemen, Je,
mdahalo huo unaopendekezwa una faida gani hasa, na ni kwa maslahi ya nani, wakati wagombea wana nafasi na fursa ya kujieleza kikamilifu mbele ya wajumbe zaidi ya 1000, wa mkutano mkuu wa chadema Taifa siku ya uchaguzi?
mbona kama kuna dalili za kishirikina? mnataka kumroga chairman ee, au kufurahisha mabenyenye ya magharibi yanayomfadhili Kibaraka?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,Kwa hiyo kwa maoni unataka kuuambia ulimwengu kwamba midahalo haina maana yoyote?
Kwa akili hiyo, siku CCM wakitaka mfanye mdahalo wa wazi ninyi mtakimbia. Mpaka hapo tu, ni kyonesha udhaifu.
Gentleman,Mbowe Hana cha kuongea, na anajua kila ambacho ataongea kitajibiwa na Hali itakuwa ngumu Sana kwake
By the way mbowe atashinda, na atashinda because mfumo wa serikali unamtaka Mbowe, na sio lissu
Inchi imetulia hakuna maandamano hakuna matamko, sasa obviously akiingia lissu mambo ya Ile chadema ya zaman utarudi
So lazima mfumo ufanye anything ili mbowe arudi kwenye kiti chake cha enzi
Ila kama tunataka siasa za upinzani then Mbowe hafai tena
Ila kama tunataka upinzani kama wa chauma then Mbowe is the best
Ndo maana nimeuliza, Mbowe kufanya mdahalo na Lissu hakuna merits zozote?Gentleman,
umesoma vizuri na kuelewa hoja mahususi ya msingi pamoja na maelezo ya ziada kwenye replies? au nawe ni wale wa kuamua na kuhitimisha mambo jumla jumla dhidi ya mambo ambayo ni specific kabisa?
Lazima kushiriki midahalo with merities sio kujiendea endea tu 🐒
Genteman,Unafaida nyingi sana kwanza kujua ni kwa kipindi gani amekuwa akitutanguliza sokoni,na kwanini tumeng'amua na bado anataka kututanguliza marikiti.Je ataweza kuzijibu hoja juu ya covid 19.Je anatuambia ni juu ya 4r's zituingie akilini?
Nchi yetu Ina wajinga wengi sana. Wewe ni ishara ya wajinga tulio nao. Ni hasara kwa wazazi wako kwa kuzaa tahira. Wangelijua wanapeleka ng'ombe shuleni wasingeuza ng'ombe kusomesha ng'ombe.Hakuna haja wala sababu ya maana au ya msingi hata moja kwa Freeman Mbowe kupoteza muda wake na kushiriki midahalo ambayo ni wazi ina ushari ndani yake, na isiyo na tija wala maana yoyote, badala yake aelekeze nguvu na jitihada zake za kisiasa kucosolidate strong holds zake za wajumbe na kumobilize wajumbe wa mkutano mkuu Taifa, na kujipanga nao vizuri ili hatimae kujihakikishia ushindi wa uhakika, wa kishindo kwa uhuru, haki na uwazi.
Zaidi sana,
Ajiandae na maandalizi mengine muhimu mathalani, ya kuweka vipaumbele vya mambo muhimu ambayo atayaweka wazi mkutanoni, siku ya kujieleza wakati wa kuomba kura, mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa, ambao ndio waamuzi wa mwisho wa nani awe kiongozi wa Chadema Taifa.
My friends ladies and gentlemen, Je,
mdahalo huo unaopendekezwa una faida gani hasa, na ni kwa maslahi ya nani, wakati wagombea wana nafasi na fursa ya kujieleza kikamilifu mbele ya wajumbe zaidi ya 1000, wa mkutano mkuu wa chadema Taifa siku ya uchaguzi?
mbona kama kuna dalili za kishirikina? mnataka kumroga chairman ee, au kufurahisha mabenyenye ya magharibi yanayomfadhili Kibaraka?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
maana yake hakuna haja ya kua na wajumbe sasa gentleman,Ndo maana nimeuliza, Mbowe kufanya mdahalo na Lissu hakuna merits zozote?
Ipo hivi, wajumbe wanapokwenda kumchagua Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa wanatokana na watu, kwa hiyo ni vema kufanya mdahalo kabla ya uchaguzi ili hata wale wanachama ambao hawatakwenda kufanya uchaguzi wa Mwenyekiti wapate nafasi ya kuwapima Wagombea kwa kusikiliza hoja zao hadharani ili wawe na neno la kuwaelekeza wajumbe wanaotakiwa kwenda kumchagua Mwenyekiti. Ikumbukwe Mwenyekiti atakayechaguliwa si Mwenyekiti wa wale wajumbe tu waliomchagua bali atakuwa Mwenyekiti wa wanachama wote wa CDM.
Sawa, mkuu. Lakini kufanya mdahalo kuna hasara gani?maana yake hakuna haja ya kua na wajumbe sasa gentleman,
kama wajumbe hawafanyi vikao kujadiliana na kuamua uelekeo wao huko kwenye maeneo yao then patakua hakuna uwajibikaji hapo,
ni muhimu kuheshimu akidi, ni muhimu zaidi kuiamini akidi kwasabb lengo la hiyo ni kuondoa ufinyu wa ushiriki wa wadau katika maamuzi🐒
Gentleman wewe unajita mchambuzi wa siasa ndani na nje? Hiyo inaleta awareness kwa wapiga kura, vile vile inapima uwezo wa mtu kuijieleza mbele ya uma na sio mbele ya wajumbe, lakin pia inakuza democrasia ndani na nje ya CHAMA, kama ccm inavyokimbia mdahalo, naanza kupata wasiwasi uwezo wako wa uchambuzi kama haujui faida za midahalowell and good,
basi ni muhimu zaidi ukipata nafasi ufuatilie vyema jambo hili, vinginevyo zingatia maelezo mafupi ya msingi kwenye hoja mahususi mezani 🐒
Wewe kila siku na mambo ya CHADEMA, hivi mbona huzungumzii Nafasi ya makamu Mwenyekiti huko CCM kuwa wazi kwa miezi zaidi ya mitano??Hakuna haja wala sababu ya maana au ya msingi hata moja kwa Freeman Mbowe kupoteza muda wake na kushiriki midahalo ambayo ni wazi ina ushari ndani yake, na isiyo na tija wala maana yoyote, badala yake aelekeze nguvu na jitihada zake za kisiasa kucosolidate strong holds zake za wajumbe na kumobilize wajumbe wa mkutano mkuu Taifa, na kujipanga nao vizuri ili hatimae kujihakikishia ushindi wa uhakika, wa kishindo kwa uhuru, haki na uwazi.
Zaidi sana,
Ajiandae na maandalizi mengine muhimu mathalani, ya kuweka vipaumbele vya mambo muhimu ambayo atayaweka wazi mkutanoni, siku ya kujieleza wakati wa kuomba kura, mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa, ambao ndio waamuzi wa mwisho wa nani awe kiongozi wa Chadema Taifa.
My friends ladies and gentlemen, Je,
mdahalo huo unaopendekezwa una faida gani hasa, na ni kwa maslahi ya nani, wakati wagombea wana nafasi na fursa ya kujieleza kikamilifu mbele ya wajumbe zaidi ya 1000, wa mkutano mkuu wa chadema Taifa siku ya uchaguzi?
mbona kama kuna dalili za kishirikina? mnataka kumroga chairman ee, au kufurahisha mabenyenye ya magharibi yanayomfadhili Kibaraka?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Mdahalo wa wazi tena hata mitatu ili akina Tlaatlaah wasiwe visemeo/vipaza vya Watanzania na Wanachadema.Wasikie kama mwamba atatuvusha au anatuzamisha,pia Wa tz tujue jinsi TL atakavyo tuvusha na jinsi alivyoibua kutuzamisha kwa mwamba,wanamboga mboga wanavyo penyeza rupia ili Mwamba na mamluki watuzamishe wazamisha Watanzania.Genteman,
nadhani ni muhimu sana wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema wakamuuliza mgombea na nadhani huo ndio utakua mdahalo wenye maana na afya zaidi na si viginevyo 🐒
Kabisaa.Mdahalo wa wazi tena hata mitatu ili akina Tlaatlaah wasiwe visemeo/vipaza vya Watanzania na Wanachadema.Wasikie kama mwamba atatuvusha au anatuzamisha,pia Wa tz tujue jinsi TL atakavyo tuvusha na jinsi alivyoibua kutuzamisha kwa mwamba,wanamboga mboga wanavyo penyeza rupia ili Mwamba na mamluki watuzamishe wazamisha Watanzania.