Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
- Thread starter
- #21
Mkuu Inawezekana Uko Sahihi,Kama yeye alivyo Sahihi.Kaongea vizuri. .. ila hili la kusema Multiparty democracy limeletwa na CCM ni siasa ya kip.mbavu. .. kwa wakati wote ...
Nakukumbusha,Licha ya mahitaji ya Sasa ya vyama vingi,bado MSUKUMO huo haujawaingia viongozi wengi mfano CHINA, URUSI, CUBA, RWANDA, ZIMBABWE, UGANDA, ERITREA, Ethiopia, Falme za KIARABU, SAUDIA etc.
Kwa muktadha huo hatuachi kuwapa KONGOLE CCM kwa angalau kumridhia baba wa taifa Hayati Nyerere,kwani kama SI YEYE Basi CCM isingeridhia Hayo baada ya hapo mwanzo kwa ASILIMIA 80 ya"wajumbe" kukataa.