Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
- Thread starter
-
- #21
Mkuu Inawezekana Uko Sahihi,Kama yeye alivyo Sahihi.Kaongea vizuri. .. ila hili la kusema Multiparty democracy limeletwa na CCM ni siasa ya kip.mbavu. .. kwa wakati wote ...
Mkuu Unamjudge Kwa Alichofanya huko nyuma?!!Kwann uamue kumjudge kwa UPENDACHO ama UCHUKIACHO ilihali ana vingi?!!Yule shibuda wa pingamiz lililobuma au mwingine halafu andika jina lake vizuri sio madale in magale madale mnaijua wanalumumba na diamond yule wa mitama
Mkuu Wangu Duuuhjitahidi kutofautisha njaa na hekima.
Mkuu Wangu amani Inatoka Kwa Mungu na kuihubiri kila siku hasa masiku Kama haya si VIBAYA..,...Mbona mnahubiri sana Amani utafikiri kuna machafuko??
Hili kosa mtaendelea nalo hadi lini?Mkuu Tindo Kama Umemsikiliza vyema John Madale Shibuda Ameongelea AMANI NA HAKI....
Kama nilivyotanabahisha ya kwamba alichokisema na nilichokiandika Kitabaki kuwa Ni Cha kutekelezwa na asiye sikia LEO na kutenda Basi yatakuja kutendwa na WANETU watakapokuwa WAKUBWA Kwani UKWELI HAUFI...
Ni semi tu lakini HAKI NA AMANI hukaa sehemu Moja....Hili kosa mtaendelea nalo hadi lini?
Unawezaje kutanfuliza amani halafu haki ikafuata?
Unaongea na mimi au unaongea na simu?Mkuu Wangu Duuuh....
Mungu Amewapa Kipaji Cha Kujua Njaa Ya Wengine.....Kwa Maana mna PERSISCOPE,CT scan na MRI iangaziayo matumboni mwa wenzenu na kujua yako MATUPU....
Kaongea vizuri. .. ila hili la kusema Multiparty democracy limeletwa na CCM ni siasa ya kip.mbavu. .. kwa wakati wote ...
π²Unaongea na mimi au unaongea na simu?
..sio kosa lake.
..wakati wakina Mapalala, Fundikira, Mabere Marando, Shaaban Mloo, Christopher Kasanga Tumbo, na wengine, wakipagania mfumo wa vyama vingi Shibuda alikuwa yuko CCM.
..kwa msingi huo usitegemee Shibuda akajua mapito waliyopitia wenzake ktk kupigania kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi.
Hao Uliowataja WALIPIGANIA mfumo wa vyama vingi lakn kumbuka pia wale G55 waliokuwa CCM walipambania na Hayo.....Ndani ya CCM walikuwepo walioutaka huo mfumo japo walikuwa wachache kwani chama KILISHIKA HATAMU kwelikweli....
Bila ya BUSARA ZA baba wa Taifa,sioni Kama hao ULIOWATAJA wangeweza kuuleta mfumo huu mwaka 92 na kusababisha 95 tuwe na Uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi.
Kwa hiyo huwezi UKAMBEZA Comrade Shibuda kwa alichonena!!!
Bwana Yesu alinena na kutendaUsimwangalie ALIVYO..angalia ALICHONENA...
DuuuuuhHuyo naye anabembeleza ateuliwe hata Uenyekiti wa kamati ya mazishi ya viongozi.
Itakuwa haumjui Shibuda, Shibuda huyu yumo kwenye kamati ya waganga wa kienyeji kanda ya ziwa, yumo kwenye machifu kanda ya ziwa! Yumo kwenye kamati ya viongozi wa dini! Mgombea Urais, alikuwa CCM, alikuwa Chadema na sasa mkazi wa Zanzibar kwenye chama ambacho ni tawi la CCM, huyo ndiye Shibuda.Mkuu Wangu Daaah Mbona Umekuwa JUDGEMENTAL badala ya kujikita katika Kile kilichotoka kinywani mwake?!!!
Hiyo mizani Bora ya kuwapima WATU unayo mikononi mwako?!!πππ
Amani Mkuu Wangu.
MmmmhItakuwa haumnui Shibuda, Shibuda huyu yumo kwenye kamati ya waganga wa kienyeji kanda ya ziwa, yumo kwenye machifu kanda ya ziwa! Yumo kwenye kamati ya viongozi wa dini! Mgombea Urais, alikuwa CCM, alikuwa Chadema na sasa mkazi wa Zanzibar kwenye chama ambacho ni tawi la CCM, huyo ndiye Shibuda.