Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
- Thread starter
-
- #41
Mkuu banaaa...Kuna msemo kwamba "sio kila mzee ana busara, kwasababu hata wahuni uzeeka".
Nahisi wapo waliosahau kwamba hata wahuni huzeeka.
No. Ilikuwa 2010.... Alitaka kumpinga JK, akatimuliwa kama Membe!!Shibuda alipojaribu kutangaza nia ya kugombea Uraisi kupitia ccm 2005 alitimuliwa chamani Kama mbwa koko
Huyo alitaka umpe pesa, hakuwa akikusaidia. Au walikuwa pamoja naye huyo mla ndizi.Mkuu banaaa...
Sawa....
Kwa hiyo MHUNI kijana ama mzee HAWEZI akaongea neno la BUSARA hata Mara Moja?!!!!
Maana muda si mrefu Mla Unga Mmoja amenisave kunishtua kuwa Yuko kijana mwenzangu anakata Mkungu Wangu Wa Ndizi Hapo Nyuma...
Looh...😁😁Hana tofauti na Benson Bana, ni njaa tu akipata atanyamaza kama Bana.
😁😁Wajumbe wanasemaje
Taifa letu...
Anateseka sawa na Sukumagang tangu kuondoka kwa MwendazakeMzee Shibuda yupo mjini?!!