Fortyseven
JF-Expert Member
- Oct 30, 2020
- 1,129
- 2,142
lazima nitoe sadaka ya kujimalizaaa🤣😅😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna sadaka ya kujisambaratishalazima nitoe sadaka ya kujimalizaaa🤣😅😆
Rudi tu na mguuZa kuambiwa changanya na za kwako...
Wagalatia Hawana ufahamu acha wapigweHapo zamani tulikuwa na wazungu walitufundisha kuwa Mungu huwasaidia watu wanaojisaidia wenyewe.
Hawa wazungu walimaanisha ukifanyakazi kwa bidii na kumtumainia Mungu ndio utafanikiwa. Nimekutana na waumini flani wanatoa sadaka hadi wanakosa nauli ya kurudi nyumbani.
Niliwahi kuona mke wa mtu alitoa sadaka malimbuko hadi laki 5 wakati wanaishi Maisha ya kuhangaika mpaka Leo.
Kuna baadhi ya makanisa wanasadaka hadi tano kwa Jumapili Moja.
Ndugu yangu kipato unachopata unapata kwa jasho sana na kulala hoi. Usikitawanye kwa kufuata mkumbo.
Muulize Mungu na moyo wako umtolee kiasi gani.Si lazima utoe kila sadaka kaa kwenye kiti wakati huo Sali kimoyo moyo soma biblia.
Unatakiwa ujipende nunua nguo nzuri, weka akiba ya baadae.
Mwili wako ni hekalu la Mungu litunze kwa upendo na shukurani.
Hakuna padri mchafu mchafu wala shehe machafu mchafu.
Waumini ndio wanaokuwa wa chafu wa chafu. Vunjeni kabati kila siku laleni pazuri. Kuna waumini Safi wanatoa sadaka sana lakini ukienda kwao unashangaa. Jipendeni.
Aposto anaiita sadaka ya kujiteketeza, hatar sanaHapo zamani tulikuwa na wazungu walitufundisha kuwa Mungu huwasaidia watu wanaojisaidia wenyewe.
Hawa wazungu walimaanisha ukifanyakazi kwa bidii na kumtumainia Mungu ndio utafanikiwa. Nimekutana na waumini flani wanatoa sadaka hadi wanakosa nauli ya kurudi nyumbani.
Niliwahi kuona mke wa mtu alitoa sadaka malimbuko hadi laki 5 wakati wanaishi Maisha ya kuhangaika mpaka Leo.
Kuna baadhi ya makanisa wanasadaka hadi tano kwa Jumapili Moja.
Ndugu yangu kipato unachopata unapata kwa jasho sana na kulala hoi. Usikitawanye kwa kufuata mkumbo.
Muulize Mungu na moyo wako umtolee kiasi gani.Si lazima utoe kila sadaka kaa kwenye kiti wakati huo Sali kimoyo moyo soma biblia.
Unatakiwa ujipende nunua nguo nzuri, weka akiba ya baadae.
Mwili wako ni hekalu la Mungu litunze kwa upendo na shukurani.
Hakuna padri mchafu mchafu wala shehe machafu mchafu.
Waumini ndio wanaokuwa wa chafu wa chafu. Vunjeni kabati kila siku laleni pazuri. Kuna waumini Safi wanatoa sadaka sana lakini ukienda kwao unashangaa. Jipendeni.
Iv walawi ni kina nani huko kanisani!; maana nashangaaga wakristo eti zaka ni kwajili ya walawi,sio wawape masikiniHuendi mbinguni kwa kutoa sadaka, na wala usipotoa siyo kuwa hutaenda mbinguni.
10% ya kila unachokipata, ni ya Mungu.
Na hiyo ya Mungu, siyo kanisani tu unaweza kutoa kwa maskini wajane na yatima. Makanisa yamekengeuka na kuijiwa na tamaa ya fedha na kugeuza waumini kama mradi wao.
Sadaka si ya masikini sadaka ni ya MunguIv walawi ni kina nani huko kanisani!; maana nashangaaga wakristo eti zaka ni kwajili ya walawi,sio wawape masikini
Wanapigwa sanaWagalatia Hawana ufahamu acha wapigwe
Kweli kabisaMtu asiyewajali watu wa nyumbani mwake ni mbaya kuliko asiyeamini. Imeandikwa
Kwani huwa mnashikiwa bunduki mamgombani?Acha mwanangu acha, yaani tukitoka huko kwenye nyumba za Bwana hizo pochi ni kama tumepigwa tero, inabaki tu kuweka simu kwenye bakuli mle
Nimecheka na kama nakuona hivi na pochi yakoAcha mwanangu acha, yaani tukitoka huko kwenye nyumba za Bwana hizo pochi ni kama tumepigwa tero, inabaki tu kuweka simu kwenye bakuli mle
Unapiga somo mpaka unalainikaKwani huwa mnashikiwa bunduki mamgombani?
Wagalatia ndio akina naniWagalatia wakizinduliwa kuwa wanaibiwa,walivyo mazuzu wanakimbilia kuwaita wengine Kobazi"
Watu wasio na akiliWagalatia ndio akina nani
Wajinga ndio waliwao , kuna wimbi la watu wasio jiweza ,mtu unaweza wasaidia tu.Unapiga somo mpaka unalainika
Sadaka Kwa mungu ni matendo mema ndio maana Kuna amri 10 za mungu ishi humo!... Tenda matendo mema uone kama hufanikiwi.True ila kila upatacho toa sadaka