Hekima: Usitoe sana sadaka bila kujibakiza, tumia akili sana, uliza moyo wako, angalia watoto na familia, angalia nguo na viatu vyako ndio utoe sadaka

Wagalatia Hawana ufahamu acha wapigwe
 
Aposto anaiita sadaka ya kujiteketeza, hatar sana
 
Iv walawi ni kina nani huko kanisani!; maana nashangaaga wakristo eti zaka ni kwajili ya walawi,sio wawape masikini
 
Wagalatia wakizinduliwa kuwa wanaibiwa,walivyo mazuzu wanakimbilia kuwaita wengine Kobazi"
 
True ila kila upatacho toa sadaka
Sadaka Kwa mungu ni matendo mema ndio maana Kuna amri 10 za mungu ishi humo!... Tenda matendo mema uone kama hufanikiwi.


Sadaka fedha ni Mali za wachungaji. Watu wanatoa sadaka halafu wauwaji, watesaji , waongo, wafitini.


Unamchangia mchungaji fedha wewe ukiumwa hata Hela ya Panadol huna. Ukiumwa mchungaji anakuombea. Mchungaji akiumwa unaambiwa toa sadaka akatibiwe zake India. Wajinga ndio waliwao.


Ishi kijanja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…