MWENDAKULIMA
JF-Expert Member
- Jul 17, 2009
- 951
- 355
Mimi mwenyewe nilijua nika mdada fulani???
according voice.
Mimi pia nilifikiri hivyo. Kuibiwa nje nje!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi mwenyewe nilijua nika mdada fulani???
according voice.
mkuu watu wengi wamepotea kwa kufata sauti...afu vibonge wengi wanasauti ya mahabatiiii
Nikilinganisha na nilivyomuona almost three years ago, naona kwa sasa... sifahamu neno sahihi la kuweka lakini ungemuona wakati huo maelezo yako yasingeishia hapo! In short, ame-improve sana nadhani hiyo picha ni ya miezi ya karibuni au imezidi sana ya 2013!
Mimi mwenyewe nilijua nika mdada fulani???
according voice.
ndiyo hvyo mkuu sauti zinadanganya kama avator za jf......
siraha yake ni sauti yake hiyo IQ ni mapenzi yako binafsi
Is Barbara or Badra Hassan...?
Ni barabara ya Hassan mwinyi hahah
Is Barbara or Badra Hassan...?
Siyo Barbara wala Badra, bali ni Babra Hassan
Siyo Barbara wala Badra, bali ni Babra Hassan
Amefanya nini?