Heko Babra Hassan wa Clouds FM

Heko Babra Hassan wa Clouds FM

Unajua maana ya emotional intelligence na umeipima kwa kumsikiliza tu?

Huko umeenda mbali kwanza muulize tu kwamba hiyo emotional intelligence yenyewe anajua ina maana gani? Kamsikiliza Mtu katika Daladala huko wakati wa Foleni kali mataa nae kaamua kuja kutiririka na kuserereka nayo huku.
 
Mungu hakupi wala hakunyimi vyote,,, anyway ni kawaida ya wanawake wenye IQ kubwa huwa matinginyaaa
 
duuh huyu babra hata hawezi kumfikia le mutuz kwa uhandsome u know le super handsome le bebe face u know.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila huyu mtangazaji akianza kusifia kitu utachoka mwenyewe
 
Yaani namkubali sana huyu Dada, anajua kutangaza hasa akiamua akisifie kitu lazima utakitafuta tu ukakinunue
 
Nikilinganisha na nilivyomuona almost three years ago, naona kwa sasa... sifahamu neno sahihi la kuweka lakini ungemuona wakati huo maelezo yako yasingeishia hapo! In short, ame-improve sana nadhani hiyo picha ni ya miezi ya karibuni au imezidi sana ya 2013!


sure
 
Hivi kwanini Barbara huwa imatamkwa Babra?Ni asili ya lugha gani?
Yawezekana Barbara na Babra ni majina tofauti kama yalivyo Irene, Airyn na Aireen..
Ila clouds ina mademu wana sauti nzuri lakini sura sasa!!..Diva, Babra, Mamy beyb na Lilian Mwasha ukiwasikiliza na ukiwaona tofauti!!..
 
Back
Top Bottom