Heko Babra Hassan wa Clouds FM

Heko Babra Hassan wa Clouds FM

Aisee kweli Mungu hakunyimi vyote!!

cc warumi
 
Last edited by a moderator:
Kwa sauti yake ya Radioni, sikufikiria kuwa yuko hivyo ...!
 
Kumradhi ashakum si matusi, Kwakweli ninapoisikiaga sauti yake nilijua ni dada mzuri sana nilipomuona kwa mara ya kwanza kupitia tv sikuamini kama ndo yeye, fikra zangu zilijenga picha ya mwanamke mrembo balaa
! kumbe sivyo.
 
Unajua maana ya emotional intelligence na umeipima kwa kumsikiliza tu?
Ni kawaida kwa watz kutumia neno lolote na sifa yoyote ili tu kutoa sifa kwa mhusika bila kuzingatia maana na maudhui ya maneno hayo.
Maneno kama
1. jamaa ''intelligent'' sana
2, jamaa ana ''kipaji''
3. huyu ni ''chaguo la Mungu''
 
Clouds kuna mambo watu tofaut n tunavowackia mala lilian mwasha tofaut mwingn huyu
 
She's attracted to tall light-skinned smart men u know!!
 
Lilian Mosha ndo alinichosha....Clouds bana ..sauti MTU tofauti au sauti wanaziedit
 
Ni kawaida kwa watz kutumia neno lolote na sifa yoyote ili tu kutoa sifa kwa mhusika bila kuzingatia maana na maudhui ya maneno hayo.
Maneno kama
1. jamaa ''intelligent'' sana
2, jamaa ana ''kipaji''
3. huyu ni ''chaguo la Mungu''
hiyo namba 3 ya "chaguo la Mungu" ndo bonge la boko,tena boko haram
 
Hilo la IQ kubwa ni kwa uwezo wako mimi bado sijaiona
 
Kwa vocal za utangazaji.
1. Babra
2. Zuhra Yunus
3. Vida Roy(Magic)
4. Belinda Semtandi
list yangu
 
Back
Top Bottom