Heko Babra Hassan wa Clouds FM


sawa mkuu.......
 
siraha yake ni sauti yake hiyo IQ ni mapenzi yako binafsi

Labda mdau ungetafuta kwanza maana ya IQ kabla ya kuja jukwaani, mwenye IQ pale kuwazidi wengine ni yule baba wa ki iraq.

Na huyo baba wa Ki iraq huwa anamtega kwa kumpiga swali rahisi tu la kutumia common sense.....eg anaweza kumuuliza, "hivi wewe si umesoma biology, Panya huwa anataga au anazaa"...asipojibu "ngoja nigoogle", basi jibu atakalotoa hapo utakavyoshtuka lazima kama upo na mtoto basi atakuuliza "baba ni nini ?"..utamjibu "hakuna kitu mwanangu, wewe kuwa tu utayakuta".

Kama ni sauti, hapo nakuunga mkono, anavutia kusikiliza kwa kweli.
 
mashaalah! amenona kama ni ajuza atapata mkongwe mwenzie na kama ni ubonge wa asili ndio majaaliwa yake kama hakuchanganya na mao tsetung. kuna mstari tunavuka wa kukosoa mpaka uumbaji wa mwenyezimungu eti hata sio mzuri mara sauti duh! sisi sote waja wake na sifa ya uumbaji ni yake mtu hata kuumba mende huwezi ila kazi ni kukosoa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…