Mimi mwenyewe nilijua nika mdada fulani???
according voice.
Acha hizo huyu binti mbona ni mrembo tu.duuh huyu babra hata hawezi kumfikia le mutuz kwa uhandsome u know le super handsome le bebe face u know.
Unajua maana ya emotional intelligence na umeipima kwa kumsikiliza tu?
Ni kawaida kwa watz kutumia neno lolote na sifa yoyote ili tu kutoa sifa kwa mhusika bila kuzingatia maana na maudhui ya maneno hayo.Unajua maana ya emotional intelligence na umeipima kwa kumsikiliza tu?
hiyo namba 3 ya "chaguo la Mungu" ndo bonge la boko,tena boko haramNi kawaida kwa watz kutumia neno lolote na sifa yoyote ili tu kutoa sifa kwa mhusika bila kuzingatia maana na maudhui ya maneno hayo.
Maneno kama
1. jamaa ''intelligent'' sana
2, jamaa ana ''kipaji''
3. huyu ni ''chaguo la Mungu''
Haa Umenikumbusha Yule Mwimbaji Aliyesema WEWE Mama Chibonge Wewe Unauza GongoDada chibongee