Heko Babra Hassan wa Clouds FM

Unajua maana ya emotional intelligence na umeipima kwa kumsikiliza tu?

Huko umeenda mbali kwanza muulize tu kwamba hiyo emotional intelligence yenyewe anajua ina maana gani? Kamsikiliza Mtu katika Daladala huko wakati wa Foleni kali mataa nae kaamua kuja kutiririka na kuserereka nayo huku.
 
Mungu hakupi wala hakunyimi vyote,,, anyway ni kawaida ya wanawake wenye IQ kubwa huwa matinginyaaa
 
Mnajua kufua makaburi lol 2014!!!!!!
 
duuh huyu babra hata hawezi kumfikia le mutuz kwa uhandsome u know le super handsome le bebe face u know.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila huyu mtangazaji akianza kusifia kitu utachoka mwenyewe
 
Yaani namkubali sana huyu Dada, anajua kutangaza hasa akiamua akisifie kitu lazima utakitafuta tu ukakinunue
 


sure
 
Yuko vizuri.
Ana sauti nzuri na Mvuto.
Hongera Barbra.
 
Hivi kwanini Barbara huwa imatamkwa Babra?Ni asili ya lugha gani?
Yawezekana Barbara na Babra ni majina tofauti kama yalivyo Irene, Airyn na Aireen..
Ila clouds ina mademu wana sauti nzuri lakini sura sasa!!..Diva, Babra, Mamy beyb na Lilian Mwasha ukiwasikiliza na ukiwaona tofauti!!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…