Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Mkoloni alikuwa Na akili nyingi sanaBusara zenu na uungwana wenu ndio uliotuwezesha kupata uhuru, nyie mlimuona ni mwanaharakati wa kudai uhuru wa nchi yake na si gaidi na hamkuona sababu ya kumvamia kwenye kakibanda kake ka pale Mwitongo Butiama na Magomeni Mikumi ili auawe, heko kwa hilo.
Pamoja na ukoloni wake lakini alijali sana haki za raia.Mkoloni alikuwa Na akili nyingi sana
Inasikitisha sana.Kama mkoloni angetumia njia za kifedhuli kama za hawa nyang'au wa leo naamini asingetoka nchini.Mkoloni mweusi hana akili anawaza kuua tu mtu mwenye mtazamo tofauti na yeye.
Muingereza alikabidhiwa Tanganyika aiandae kwa ajili ya uhuru wake. Hakuwa na maslahi sana tofauti na Zimbabwe ambapo alikuwa na maslahi napo.Pamoja na ukoloni wake lakini alijali sana haki za raia.
Wanajitahidi kulinda utajiri wanaojilimbikizia, pamoja na kutofanya biashara lakini wamekuwa matajiri kuliko wafanyabiashara huku huawalipi kodi.Muingereza alikabidhiwa Tanganyika aiandae kwa ajili ya uhuru wake. Hakuwa na maslahi sana tofauti na Zimbabwe ambapo alikuwa na maslahi napo.
Huko Kenya napo uliona alichowatenda ila kwa tangayika hakuwa interested sana.
Sema low key mkoloni aliitengeneza Africa vizuri kuliko hata New regime ya waaafrica ambayo sometimes ni katili kuliko hata wakoloni waliopita.
Busara zenu na uungwana wenu ndio uliotuwezesha kupata uhuru, nyie mlimuona ni mwanaharakati wa kudai uhuru wa nchi yake na si gaidi na hamkuona sababu ya kumvamia kwenye kakibanda kake ka pale Mwitongo Butiama na Magomeni Mikumi ili auawe, heko kwa hilo.
Uingereza haikuwahi kuleta majeshi. Nigeria ndiyo ilileta jeshi wakati wa uasi.Hawakumvamia kwa sababu walitaka kumtumia kuivamia Zanzibar na baada ya kupinduliwa na majeshi , walileta majeshi Yao kumweka madarakani ili kumtumia kuuwa watu Zanzibar
Duuh, haya mkuu.Hawakumvamia kwa sababu walitaka kumtumia kuivamia Zanzibar na baada ya kupinduliwa na majeshi , walileta majeshi Yao kumweka madarakani ili kumtumia kuuwa watu Zanzibar
Mimi naongelea Tanganyika na Nyerere namna alivyotumiliwa na waingereza. Hatuongelei NigeriaUingereza haikuwahi kuleta majeshi. Nigeria ndiyo ilileta jeshi wakati wa uasi.
Mzungu angalau ana hisia na utu.Wakoloni hata uchaguzi walikuwa wanafanya wa huru na haki, hawaibi kura
Bila wasiwasiDuuh, haya mkuu.
Januari 1964, wanajeshi wa Tanganyika Rifles waliokuwa wakidai mishahara mizuri na kufukuzwa kwa maofisa wa Kizungu walifanya uasi Dar es Salaam. Rais Julius Nyerere, baada ya kugundua kuwa waasi walikuwa wakishirikiana na wanasiasa ili kupindua serikali yake, alilazimika kuomba msaada wa jeshi la Uingereza. [1, 2, 3, 4]Uingereza haikuwahi kuleta majeshi. Nigeria ndiyo ilileta jeshi wakati wa uasi.
Ivi ni Kwa nini baadhi ya wanajeshi walifanya hivyo ? Kwani hakukuwa na mazungumzokati Yao na serikali ?Januari 1964, wanajeshi wa Tanganyika Rifles waliokuwa wakidai mishahara mizuri na kufukuzwa kwa maofisa wa Kizungu walifanya uasi Dar es Salaam. Rais Julius Nyerere, baada ya kugundua kuwa waasi walikuwa wakishirikiana na wanasiasa ili kupindua serikali yake, alilazimika kuomba msaada wa jeshi la Uingereza. [1, 2, 3, 4]
Ombi lake lilitekelezwa kupitia operesheni ya haraka na ya kijeshi:
- Kikosi cha Uingereza: Uingereza ilitumia wanajeshi wa 45 Commando Royal Marines, kundi la wanamaji waliofika kupitia kichechefu cha ndege cha HMS Centaur, na mtumbwi mwingine wa kivita uliosindikiza uliojulikana kama HMS Cambrian.
Hizi new regime nyingi zinatawala kifamilia (watu wa familia Moja) wamegundua kukataa mabadiliko ya katiba, inapo karibia uchaguzi mkuu kauli mbiu inakuwa ni katiba mpya kwenye ulimbo wa ndoanoMuingereza alikabidhiwa Tanganyika aiandae kwa ajili ya uhuru wake. Hakuwa na maslahi sana tofauti na Zimbabwe ambapo alikuwa na maslahi napo.
Huko Kenya napo uliona alichowatenda ila kwa tangayika hakuwa interested sana.
Sema low key mkoloni aliitengeneza Africa vizuri kuliko hata New regime ya waaafrica ambayo sometimes ni katili kuliko hata wakoloni waliopita.