Ivi ni Kwa nini baadhi ya wanajeshi walifanya hivyo ? Kwani hakukuwa na mazungumzokati Yao na serikali ?
Dikteta anakuwa hana kuzungumza mpaka maji yamwagike
Ivi ni Kwa nini baadhi ya wanajeshi walifanya hivyo ? Kwani hakukuwa na mazungumzokati Yao na serikali ?
Lile jeshi lilikuwa la KAR(Kings African Rifles) na lilihusu Zambia, Malawi na nchi nyingine za Kiafrika zilizo chini ya Uingereza.Ivi ni Kwa nini baadhi ya wanajeshi walifanya hivyo ? Kwani hakukuwa na mazungumzokati Yao na serikali ?
Ulizaliwa lini ? Wacha kumchanganya kijana mwenzako..Lile jeshi lilikuwa la KAR(Kings African Rifles) na lilihusu Zambia, Malawi na nchi nyingine za Kiafrika zilizo chini ya Uingereza.
Teacher alikuwa ni dikiteta kwani ?Dikteta anakuwa hana kuzungumza mpaka maji yamwagike
Lini aliruhusu vyama vingi?Teacher alikuwa ni dikiteta kwani ?
Cha ajabu huyo huyo Mwl aliwanyoosha barabara wale wote waliokuwa wanampinga.Busara zenu na uungwana wenu ndio uliotuwezesha kupata uhuru, nyie mlimuona ni mwanaharakati wa kudai uhuru wa nchi yake na si gaidi na hamkuona sababu ya kumvamia kwenye kakibanda kake ka pale Mwitongo Butiama na Magomeni Mikumi ili auawe, heko kwa hilo.
Hakuwahi kuwateka, tena enzi hizo nyumba hazina mageti.Cha ajabu huyo huyo Mwl aliwanyoosha barabara wale wote waliokuwa wanampinga.
Una uhakika ?Hakuwahi kuwateka, tena enzi hizo nyumba hazina mageti.
Idadi ya watu ilikuwa ndogo sana kiasi watu wengi walikuwa wanafahamiana, Dar ilikuwa na wakazi chini ya milioni moja! Unayepinga nijulishe mtu aliyetekwa.Una uhakika ?
Utajuaje wakati chombo cha habari ni kimoja TU Nchi nzima, radio Tanzania. ?Idadi ya watu ilikuwa ndogo sana kiasi watu wengi walikuwa wanafahamiana, Dar ilikuwa na wakazi chini ya milioni moja! Unayepinga nijulishe mtu aliyetekwa.
Alimkamata usiku Abdulla kassim Hanga , Kosa lake alikuwa rafiki yake Kambona. Akafanya mkutano asubuhi mnazi mmoja huku akimleta Hanga na kumtukana mbele za watu , na akasema huyu nampeleka Zanzibar kwa karume. Na alimpeleka na baada siku chache aliuliwa na mpaka leo kaburi lake halijulikani liko wapi. Vile vile Othman Sharif Mussa alifanyiwa hivyo hivyo na NyerereHakuwahi kuwateka, tena enzi hizo nyumba hazina mageti.
Hakuteka ila aliweza kuwatengenezea ajali alioona wanakuja kufunika jina lake. Hayo siyo maajabu?Hakuwahi kuwateka, tena enzi hizo nyumba hazina mageti.