Heko, Rais kipenzi cha watanzania, tabasamu larejea Ngorongoro, lakini...!

Heko, Rais kipenzi cha watanzania, tabasamu larejea Ngorongoro, lakini...!

Mleta hoja kumbuka hili tatizo serikali yake ndio ilisababisha na hivyo wasingeweza kuwa mtatuzi.
(Problem creater hawezi kuwa problem solver)
Hongera saaana TLS
Hongera sana vyama vya kutetea haki za binadamu
Hongera sana jamii za Kimataifa
 
Siasa za afrika huleta Ukoloni wakijinga sana...
Mtu anatoka nchi yake anakuja kufukuza wamasai kwenye eneo lao nchini kwao alafu watu wakishtuka eti anawasamehe....namajinga yanasifu!!!
Hii ndio inaitwa "we zombi!...."
 
°Operation ya kuwatambua ianze, mara moja, nina mashaka kama kweli masai hawa wote ni wa tanzania, Niliwahi kutana na mmasai pahala fulani, katika kuongea nae, akaniambia yeye ni masai ya Kenya na akanionyesha kipande yake! / umakini na angalizo isije ikawa kwa umasai wao wakawa na Id za mataifa yote mawili, wanapiga kura Kenya alkadhalika wakapiga kura tanzania!

°Idadi ya masai mbugani ni kubwa mno, serekali yetu ingetafuta namna ya kupunguza wingi wao kwani ni hatari kwa Ekolojia ya ngorongoro!

°Aidha eneo la hifadhi ya Ngorongoro liwekewe mipaka kutenganisha na vijiji vya masai, na mbuga hizo ziwe zinatumika kwa malisho pekee ya mifugo na si kuongeza vibanda kila uchao!,

"Samia Hassani, Tobikooo!" -- Alisikika Profesa mmoja almaarufu kutokea jalalani akibonga kimasai kwa ufasaha. 🤣🤣

Cc: Glenn, johnthebaptist, Lucas Mwashambwa
 
Sisi ni wakutuambia ni mbwa tunabwekea mafanikio yake? Kumbe wanawake wa kizenjiba ndo mko na madharau kiasi icho? Mende kbs
 
Asante kaka kwa uelewa pevu, mara nyingi binadamu anapokaa mahali huathiri mazingira, atakata kuni, japo ana ngombe lakini atawinda swala, atajenga nyumba, atakata msitu ili alime, na mengi tu. /atazaa watoto na kila mtoto ataitaji shamba lake, calculate 30 coming year itakuwaje?, tutakuwa na mbuga ya urithi wa dunia kweli?.
Asante sana Mkuu.

Umemalizia kila kitu katika maelezo yako, hata hawa mafala wa CHADEMA wanaujua ukweli huu,sema basi tuh wameamua kujitoa ufaham.

Wewe angalia wale wamasai Kwa JINSI walivyo Polygamist kama Mimi Muislam UNADHANI after 30 years itakuaje vip mbuga ile??And why serikali isiache kuchukua Tahadhari now?
 
Mimi nipo zaidi katika misingi ya UHIFADHI WA MAZINGIRA,
I personal worth environment!, naumia sana pale tunapo disturb mbuga na misitu yetu, binafsi nafahamu, shughuli za binadamu na maharibifu yake anapoingia pahala!
#Thought noted well.
Nyumban kwako unatumia mkaa au unatumia gesi?
 
Hifadhi ni creta na creta rim sasa wilaya nzima watu wanahamishwa kwa sabab gani??
 
Huyu maza mpaka sasa kashapoteza kura 60% ya watanzania wote.

CDM mna kazi mdogo sana 2025.
 
Mimi nipo zaidi katika misingi ya UHIFADHI WA MAZINGIRA,
I personal worth environment!, naumia sana pale tunapo disturb mbuga na misitu yetu, binafsi nafahamu, shughuli za binadamu na maharibifu yake anapoingia pahala!
#Thought noted well.
Kule msitu wa Amazon kuna makabila kibao yanaishi karne kwa karne na msitu bado unamea.
 
Back
Top Bottom