Wapo mbugani kwa zaidi ya miaka 50,lakini sio kwa wingi huo!, kuna jambo!
Mchezo umeujua baada ya mbuga kuuzwa kwa waarabu
Kati ya wamasai wanaoishi kwa tamaduni zao za kale na five star hotels zinazojengwa mbugani
Nani hasa anaaribu mazingira..??
Wagen wanakuja kuwinda simba tembo chui
Lakin wamasia hawana muda na wanyama wakali
Hata nyati wamasai hawali
Fuel pollution inayofanywa na magari ya kitalii na hao waarabu
Na maisha ya asili yakimasai kati yao nani anaharib mazingira..??
Geographia ya Kenya wanapoishi wamasai. Wakenya ni Rahis sana kwao kuingia serengeti kuliko kuja ngorongoro unaelewa ilo lakini..??
Unaujinga mwingi kichwani kwako wewe
Unakurupuka sana
Unajiona msomi kusema unajali kuhusu mazingira lakin deep down kijana
Unachuki za waziwazi na wamasai
na mnawavalisha jina lakuwaita wakenya ili muwanyanyase na kuwatesa
Ushawai ona wamasai wakenya wewe ..??
Wale watu wanapesa
Wanamaeneo makubwa sana yakulisha mifuo yao
Wala sidhan kama wakija upande watanzania wanakuja kwa makazi
Labda kusalimia ndug zao tuu
Hata bei za mifungo tanzania na kenya
Kenya ni bei kubwa zaid
Sasa kwann wakimbilie kwenye umasikini
Think twice
Otherwise usiongee usichokijua