°Operation ya kuwatambua ianze, mara moja, nina mashaka kama kweli masai hawa wote ni wa tanzania, Niliwahi kutana na mmasai pahala fulani, katika kuongea nae, akaniambia yeye ni masai ya Kenya na akanionyesha kipande yake! / umakini na angalizo isije ikawa kwa umasai wao wakawa na Id za mataifa yote mawili, wanapiga kura Kenya alkadhalika wakapiga kura tanzania!
°Idadi ya masai mbugani ni kubwa mno, serekali yetu ingetafuta namna ya kupunguza wingi wao kwani ni hatari kwa Ekolojia ya ngorongoro!
°Aidha eneo la hifadhi ya Ngorongoro liwekewe mipaka kutenganisha na vijiji vya masai, na mbuga hizo ziwe zinatumika kwa malisho pekee ya mifugo na si kuongeza vibanda kila uchao!,
Utambuzi uanzie serkarini.
1.Usalama wa TAIFA.
2.Majaji wa mahakama kuu/mahakama ya rufani
3.Uhamihaji /Jeshini JW
4.Jeshi Magereza
5.Mamlaka ya Mapato
Maeneo hayo nyeti Kuna mpaka makamishna ambao ni WANYARWANDA ,mapandikizi toka Rwanda.
Kusema Kuna wamasai Toka Kenya ni UJINGA WA HALI YA JUU.
Wamasai ni ndugu Moja kama ilivyo wahindi duniani kote.
Maasai wa Kenya Kuwasaidia wa Tz ,kama kweli Wamasai wa Tz ni jambo jema.
Katika historia nchi zilipata UHURU ,kwa kusaidiwa na nchi nyingine.
Mfano hai ni, Namibia,South Africa, Angola, Msumbiji, Zimbabwe,na nchi nyingi za Africa.
Je kulikuwa na ubaya kupata sapoti kutoka nchi nyingine ku eradicate colonialism??
Kuna shida Gani Maasai wa Kenya kusaidia maasai wenzao wa Tz??
Acheni kuposti ujinga bila kuzingatia haki za binadamu!!
Ungekuwa Masai usingepata muda wa kuposti haya "MAV....I" ya Kuhara ,🤔🤔🤔.
Kulikuwa na faida kubwa kwa wazazi wako KUFUGA NGURUWE, kuliko kusomesha rubbish kama wewe!!
Shame non you!!