pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Unaifahamu vizuri Tarafa ya Ngorongoro?°Aidha eneo la hifadhi ya Ngorongoro liwekewe mipaka kutenganisha na vijiji vya masai, na mbuga hizo ziwe zinatumika kwa malisho pekee ya mifugo na si kuongeza vibanda kila uchao!,
Kiinglish ni janga la kitaifaHow related!
Kiinglish /English!, tatizo ni kubwa sana kwa lugha hii ya wageni.Kiinglish ni janga la kitaifa
Sikiliza madini haya""Masai wa masai-mara, si masai wa serengeti"" (kuna watanzania na wakenya) but animal has no boundry!
°Operation ya kuwatambua ianze, mara moja, nina mashaka kama kweli masai hawa wote ni wa tanzania, Niliwahi kutana na mmasai pahala fulani, katika kuongea nae, akaniambia yeye ni masai ya Kenya na akanionyesha kipande yake! / umakini na angalizo isije ikawa kwa umasai wao wakawa na Id za mataifa yote mawili, wanapiga kura Kenya alkadhalika wakapiga kura tanzania!
°Idadi ya masai mbugani ni kubwa mno, serekali yetu ingetafuta namna ya kupunguza wingi wao kwani ni hatari kwa Ekolojia ya ngorongoro!
°Aidha eneo la hifadhi ya Ngorongoro liwekewe mipaka kutenganisha na vijiji vya masai, na mbuga hizo ziwe zinatumika kwa malisho pekee ya mifugo na si kuongeza vibanda kila uchao!,
Asante sana Mkuu.Asante kaka kwa uelewa pevu, mara nyingi binadamu anapokaa mahali huathiri mazingira, atakata kuni, japo ana ngombe lakini atawinda swala, atajenga nyumba, atakata msitu ili alime, na mengi tu. /atazaa watoto na kila mtoto ataitaji shamba lake, calculate 30 coming year itakuwaje?, tutakuwa na mbuga ya urithi wa dunia kweli?.
Nyumban kwako unatumia mkaa au unatumia gesi?Mimi nipo zaidi katika misingi ya UHIFADHI WA MAZINGIRA,
I personal worth environment!, naumia sana pale tunapo disturb mbuga na misitu yetu, binafsi nafahamu, shughuli za binadamu na maharibifu yake anapoingia pahala!
#Thought noted well.
Una dege dege wewe, utaniwekaje na kijani?"Samia Hassani, Tobikooo!" -- Alisikika Profesa mmoja almaarufu kutokea jalalani akibonga kimasai kwa ufasaha. 🤣🤣
Cc: Glenn, johnthebaptist, Lucas Mwashambwa
Natumia jiko la gas.Nyumban kwako unatumia mkaa au unatumia gesi?
Una dege dege wewe, utaniwekaje na kijani?
Kule msitu wa Amazon kuna makabila kibao yanaishi karne kwa karne na msitu bado unamea.Mimi nipo zaidi katika misingi ya UHIFADHI WA MAZINGIRA,
I personal worth environment!, naumia sana pale tunapo disturb mbuga na misitu yetu, binafsi nafahamu, shughuli za binadamu na maharibifu yake anapoingia pahala!
#Thought noted well.
Sioni wakiondoka. Mbona huzungumzii vizazi vijavyo kukosa madini kwa mikataba mibovu iliyoingia Chama chako?Wataondoka tuh,it's just a matter of time... hatuwezi Wacha mbuga ziharibiwe na uzao wa kimasai then vizazi vijavyo vikose hiyo rasilimali,no way.