Chama changu?nani kakuambia Mimi fala wa kushabikia vyama??Sioni wakiondoka. Mbona huzungumzii vizazi vijavyo kukosa madini kwa mikataba mibovu iliyoingia Chama chako?
Rais kipenzi cha matapeli na majizi na wajinga pia°Operation ya kuwatambua ianze, mara moja, nina mashaka kama kweli masai hawa wote ni wa tanzania, Niliwahi kutana na mmasai pahala fulani, katika kuongea nae, akaniambia yeye ni masai ya Kenya na akanionyesha kipande yake! / umakini na angalizo isije ikawa kwa umasai wao wakawa na Id za mataifa yote mawili, wanapiga kura Kenya alkadhalika wakapiga kura tanzania!
°Idadi ya masai mbugani ni kubwa mno, serekali yetu ingetafuta namna ya kupunguza wingi wao kwani ni hatari kwa Ekolojia ya ngorongoro!
°Aidha eneo la hifadhi ya Ngorongoro liwekewe mipaka kutenganisha na vijiji vya masai, na mbuga hizo ziwe zinatumika kwa malisho pekee ya mifugo na si kuongeza vibanda kila uchao!,
Mbona serengeti inataka kuchimbwa madini na husemi chochote?Mimi nipo zaidi katika misingi ya UHIFADHI WA MAZINGIRA,
I personal worth environment!, naumia sana pale tunapo disturb mbuga na misitu yetu, binafsi nafahamu, shughuli za binadamu na maharibifu yake anapoingia pahala!
#Thought noted well.
Hatuna habari rasmi, mara tutakpopata habari tutasema kwa nguvu zote, unless endapo taratibu za uhifadhi zitafuatwa.Mbona serengeti inataka kuchimbwa madini na husemi chochote?
Eti misingi ya uhifadhi....,
Kuna mtu alikuwa mwizi kama wa hilo jina lako!Rais kipenzi cha matapeli na majizi na wajinga pia
Naungana na clip ya yule mmasai aliyesema kama hawa wamasai si watanzania basi vyombo vya ulinzi vinajidhalilisha kuwa vimeshindwa kazi ya kulinda mipaka mpaka wanatoka huko hadi ngorongoro.°Operation ya kuwatambua ianze, mara moja, nina mashaka kama kweli masai hawa wote ni wa tanzania, Niliwahi kutana na mmasai pahala fulani, katika kuongea nae, akaniambia yeye ni masai ya Kenya na akanionyesha kipande yake! / umakini na angalizo isije ikawa kwa umasai wao wakawa na Id za mataifa yote mawili, wanapiga kura Kenya alkadhalika wakapiga kura tanzania!
°Idadi ya masai mbugani ni kubwa mno, serekali yetu ingetafuta namna ya kupunguza wingi wao kwani ni hatari kwa Ekolojia ya ngorongoro!
°Aidha eneo la hifadhi ya Ngorongoro liwekewe mipaka kutenganisha na vijiji vya masai, na mbuga hizo ziwe zinatumika kwa malisho pekee ya mifugo na si kuongeza vibanda kila uchao!,
"If you are neutral in the situation of injustice you have chosen the side of oppressor."Stop be hooked by negativity of wanaharakati, sometime you needed to stay center, the way you're heart tells!
Siasa ni sayansi sio tunguli mwakani mama anashinda uchaguzi kwa 100%Wamasai wamewashika pabaya.
Inategemea unasimama juu ya lipi?, mfano, masai ni hatari kwa ustawi wa ngorongoro, (human activities) zinazidi mbugani!, kiakili unatambua kabisa ya kwamba hili ni kweli tupu, lakini kwasababu kwasababu mwenyekiti kasema hili haliwezekani, na wewe, unakwenda kama dumb - hili haliwezekani, wakati akili inakutuma facts ya kwamba hili jambo siyo jema kwa future."If you are neutral in the situation of injustice you have chosen the side of oppressor."
Desmond Tutu, a former Arch-Bishop of Anglican Church of South Africa.
I'm not among of the brain-washed peoples.Inategemea unasimama juu ya lipi?, mfano, masai ni hatari kwa ustawi wa ngorongoro, (human activities) zinazidi mbugani!, kiakili unatambua kabisa ya kwamba hili ni kweli tupu, lakini kwasababu kwasababu mwenyekiti kasema hili haliwezekani, na wewe, unakwenda kama dumb - hili haliwezekani, wakati akili inakutuma facts ya kwamba hili jambo siyo jema kwa future.
Kafanye mazingira ya kujipenda wewe mwenyewe kwanza, waachie wamasai na maisha yao. Eti kuna Masai wa Tanzania na Kenya; Wamasai walikuwepo kabla ya Kenya na Tz; yaani kabla ya 1884; na huyo Mama Magungo wa Pwani.Mimi nipo zaidi katika misingi ya UHIFADHI WA MAZINGIRA,
I personal worth environment!, naumia sana pale tunapo disturb mbuga na misitu yetu, binafsi nafahamu, shughuli za binadamu na maharibifu yake anapoingia pahala!
#Thought noted well.
Mbuga zenu wewe na nani?Mimi nipo zaidi katika misingi ya UHIFADHI WA MAZINGIRA,
I personal worth environment!, naumia sana pale tunapo disturb mbuga na misitu yetu, binafsi nafahamu, shughuli za binadamu na maharibifu yake anapoingia pahala!
#Thought noted well.
Utambuzi uanzie serkarini.°Operation ya kuwatambua ianze, mara moja, nina mashaka kama kweli masai hawa wote ni wa tanzania, Niliwahi kutana na mmasai pahala fulani, katika kuongea nae, akaniambia yeye ni masai ya Kenya na akanionyesha kipande yake! / umakini na angalizo isije ikawa kwa umasai wao wakawa na Id za mataifa yote mawili, wanapiga kura Kenya alkadhalika wakapiga kura tanzania!
°Idadi ya masai mbugani ni kubwa mno, serekali yetu ingetafuta namna ya kupunguza wingi wao kwani ni hatari kwa Ekolojia ya ngorongoro!
°Aidha eneo la hifadhi ya Ngorongoro liwekewe mipaka kutenganisha na vijiji vya masai, na mbuga hizo ziwe zinatumika kwa malisho pekee ya mifugo na si kuongeza vibanda kila uchao!,
Wameshaishi hapo kwa miaka zaidi ya 50 mbona hatujakiona hicho mnachosema mbuga itaathirika.Asante kaka kwa uelewa pevu, mara nyingi binadamu anapokaa mahali huathiri mazingira, atakata kuni, japo ana ngombe lakini atawinda swala, atajenga nyumba, atakata msitu ili alime, na mengi tu. /atazaa watoto na kila mtoto ataitaji shamba lake, calculate 30 coming year itakuwaje?, tutakuwa na mbuga ya urithi wa dunia kweli?.