Heko, Rais kipenzi cha watanzania, tabasamu larejea Ngorongoro, lakini...!

Lucas Mashambwe amebubujika kwa furaha mpaka ameshindwa kuanzisha uzi
 
Wameshaishi hapo kwa miaka zaidi ya 50 mbona hatujakiona hicho mnachosema mbuga itaathirika.
Kwa nini kuanzia sasa hivi ndio uonekane huo utaalamu wenu mnaouleta kuna nini nyuma ya pazia
Wapo mbugani kwa zaidi ya miaka 50,lakini sio kwa wingi huo!, kuna jambo!
 
Targeted ⤵ "" Kuna ubaya gani masai wa Kenya kusaidia ndugu zao wa Tanzania yawezekana hata kwenye kupiga kura mchezo ni huu huu""
#Tumekuelewa!
 
Targeted ⤵ "" Kuna ubaya gani masai wa Kenya kusaidia ndugu zao wa Tanzania yawezekana hata kwenye kupiga kura mchezo ni huu huu""
#Tumekuelewa!
Ngara, Biharamuro WANYARWANDA wanagombea udiwani na kushinda,wafuga ng'ombe wao,
Wewe wa wapi wewe mpaka unashangaa kuhusu kura??

Mgeni hapa Tanzania wewe??

Kupiga kura na kugombea au kuteuliwa nafasi nyeti kitisho kikubwa ni nini kwako??🤔🤔.

Jitahidi kuwa serious unapochangia vitu serious, acha DHIHAKA.🤔🤔
 
Haya ni makosa makubwa kweli ni budi serekali ione ni namna gani mambo ya namna hii hayatokei, tukianza upya....!
Masauni!
 
Mimi nipo zaidi katika misingi ya UHIFADHI WA MAZINGIRA,
I personal worth environment!, naumia sana pale tunapo disturb mbuga na misitu yetu, binafsi nafahamu, shughuli za binadamu na maharibifu yake anapoingia pahala!
#Thought noted well.
Hoteli zinazojengwa mbugani ndio uhifadhi wa mazingira?
 
Narudia kucheka tena 🤣🤣🤣🤣
 
Wewe mbwiga unajua atakachokifanya Mwarabu miaka 30 ijayo?

Hauwezi kuumiza kichwa kwasababu ni nduguyo katika Imani?
 
Baada ya kugalagazwa na wenye Tanganyika yao naona Sasa mnaanza Fitina!

Wakati mnawahamishia Msomera hamkujua kwamba ni Wakenya?
 
Nani aliyesababisha kilio Ngorongoro kama si huyo uneyempa heko?
 
Wapo mbugani kwa zaidi ya miaka 50,lakini sio kwa wingi huo!, kuna jambo!
Mchezo umeujua baada ya mbuga kuuzwa kwa waarabu
Kati ya wamasai wanaoishi kwa tamaduni zao za kale na five star hotels zinazojengwa mbugani
Nani hasa anaaribu mazingira..??
Wagen wanakuja kuwinda simba tembo chui
Lakin wamasia hawana muda na wanyama wakali
Hata nyati wamasai hawali
Fuel pollution inayofanywa na magari ya kitalii na hao waarabu
Na maisha ya asili yakimasai kati yao nani anaharib mazingira..??
Geographia ya Kenya wanapoishi wamasai. Wakenya ni Rahis sana kwao kuingia serengeti kuliko kuja ngorongoro unaelewa ilo lakini..??
Unaujinga mwingi kichwani kwako wewe
Unakurupuka sana
Unajiona msomi kusema unajali kuhusu mazingira lakin deep down kijana
Unachuki za waziwazi na wamasai
na mnawavalisha jina lakuwaita wakenya ili muwanyanyase na kuwatesa
Ushawai ona wamasai wakenya wewe ..??
Wale watu wanapesa
Wanamaeneo makubwa sana yakulisha mifuo yao
Wala sidhan kama wakija upande watanzania wanakuja kwa makazi
Labda kusalimia ndug zao tuu
Hata bei za mifungo tanzania na kenya
Kenya ni bei kubwa zaid
Sasa kwann wakimbilie kwenye umasikini
Think twice
Otherwise usiongee usichokijua
 
Kama ni hilo tu,usiishie kwa Wamasai!
Fikiria Wakurya,Wamakonde,Wanyasa,Wahaya,nk
Ni vigumu kuwatofautisha Wamasai wa Kenya na Tanzania.
 
⤵⬇ Nimekupata!, wingi wao mbugani unauridhia? Kuna jambo (?).

-human activities hasa wanapokuwa wengi huku wakizidi kuzaliana, out come yake unaifahamu?

-hotel by nature, huchukuwa eneo dogo lisilozidi ekari 2, na kisheria hujengwa pembeni mwa mbuga, ili kutosturb wanyama, pia study hufanyika ili kutoingilia hata njia/mapito ya wanyama.

-Pamoja na yote haya ni busara sana kutengeneza fair situation, kwa kutowaingilia sana wanyama na mazingira yao, tunayo ardhi kubwa sana nzuri kwa binadamu kujistawisha, busara zitumike, ili wamasai wasiwe wengi kupita wanyama kwenye ardhi ya wanyama.

-Tusiache kuwapongeza masai kwani ni watu wanaojua sana kujioganise na kufanya lile wanalolikusudia, hivyo tusijiulize wamefikaje ngorongoro Na kujazana.
 
Wanyama na wamasai wamewekwa na Mungu Ngorongoro waishi kama jamii moja,kuwaondoa wamasai Ngorongoro ni kuwaonea na hakutaifanya nchi iondokane na umasikini uliokithiri,kwani ni hifadhi ngapi tunazo na hazijatuondoa kwenye umasikini?.

Tunayo madini kibao,gas tunayo,raslimali tunazo kibao pamoja na kubinafsisha bandari yetu kwa waarabu bado hatujabadilika chochote ndio kwanza tunazidi kunuka umasikini kwa kwenda mbele.

Pia kuondolewa kwa wamasai Ngorongoro hakutaleta unafuu wa kutozwa tuzo za ajabuajabu mpakwa kwenye mitandao.
 
Nani aliyesababisha kilio Ngorongoro kama si huyo uneyempa heko?
Mtoto asiyeelewa na Mtukutu ni shida sana, Rais wetu bahati tuliyonayo ni "Environment lover", hata mtoto kuna wakati unamwambia usichezee wembe utakukata, kitoto kinakuwa kibishi, then unaamua kukaacha kajikate!, Nia ya rais ni safi, toto ni bishi, Achilia mbali masai wageuze ngorongoro jiji, majuto mjukuu,
-Binafsi nakazia masai wapunguzwe ngorongoro ili kutengeneza Proportionality, uwiano safi kati ya wanyama na binadamu.
 
Uchaguzi ujao ccm isitarajie kuhesabu kura Ngorongoro. Kura zote zitaelekea upande ule
 
yaani kwamba wanadamu wote hawa nawalilia kubaki ngorongoro waishi pamoja na wanyama na kuna mtu anashangilia? miaka 20 ijayo bado patakuwa na ngorongoro hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…