Heko Watanzania kuipuuza kizalendo nonsense ya No reform no elections ground, field na kwenye mitandao ya kijamii

No Reforms, No elections. Watanzania wa Sasa sio wapumbavu
 
Amka ndotoni comrade utakunya mavi usingizini wagogo leo huko wameamka na No reform No Election unaowaona mtandaoni ndio wawakilishi wawananchi hawaishi mbinguni mkali sanuka
 

Attachments

  • Screenshot_20250608_092908_Chrome.jpg
    417.6 KB · Views: 20
Ngoja nikamuulize Msigwa na tamasha la mama yake
 
Huna akili wewe, kampeni imabamba mpaka mmefunga comments kwenye accounts za social media unakuja hapa na uharo, stupid woman
 
Hata wajaze server ni kweli kwamba Mamluki vibaraka wa Wazungu na walioungana na wahuni wa mitandaoni wa Kenya hawafai kuongoza hata Chama chao wanachokiongoza
 
Unaona unavyotukanwa?watanzania wanataka mabadiliko nyie watu wajinga wachache hamuwezi kuzuia.
 
🤣 🤣 🤣 🔊
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…