Heko Watanzania kuipuuza kizalendo nonsense ya No reform no elections ground, field na kwenye mitandao ya kijamii

Heko Watanzania kuipuuza kizalendo nonsense ya No reform no elections ground, field na kwenye mitandao ya kijamii

20250608_064027.jpg
 
Karibu pumzi inawaishaia hao vibaka na matapeli wa kisiasa na hiyo nonsense yao ya no reform no elections.
Hongera sana wananchi wote ground, field na mitandaoni kwa kukataa kubebwa ufala wa kifikra na hao matapeli wa kisiasa waliopoteza uelekeo.
Mmewapuuza kwa maneno na matendo kijasiri, vizuri sana, na kutowachangiwa pesa kulingana na matarajio yo kumewavuruga, kumewaumbua na kuwyumbisha zaidi kisiasa na kimaisha, kwasabau maisha yao hutegemea kuchangiwa pesa za kujikimu kwenye mikutano ya hadhara.

Baada ya hali tete ground na field eti wamehamia mitandaoni, ambapo huku nako wameangukia pua mbaya sana. Wanapingwa vikali na kupuuzwa kwa kiwango kile kile wanachopuuzwa na wananchi field na ground. Kwakweli wanaopitia wakati mgumu sana kisiasa, huku ukata mkali wa fedha za kuendeshwa chama chao na ugumu wa maisha mkali sana kwa viongozi waandamizi wasiao na ajira wanateseka sana.

Viongozi wengi waandamizi wa chadema wanategemea kuishi kwa kuchangiwa pesa za matumizi kwenye kibakuli na wananchi wasamaria wema kwenye mikutano yao ambayo kwasasa imekosa mvuto, nguvu na imepoteza uelekeo kabisa. Kadiri wanavyopuuzwa na wananchi field na mitandaoni ndivyo wanavyo pata pesa kidunchu sana za kujikimu, maana hawana namna nyingine ya kuishi bali kuomba omba kuchangiwa. Ni aibu bau hawana ujanja.

My friends, ladies and gentleman,
mnakumbuka michango ya tone tone kidigitali ilikauka baada matumizi mabaya ya kamati kuu na hatimae wanachadema kugoma kuchangia tena? Tone tone to ya kwenye kibakuli nayo soon itakauka kwasababu hali ni mbaya zaidi, na huo ndio utakua mwisho wa uropokaji na hiyo nonsense ya no reform no elections.

Nawatakia maandalizi mema ya mwisho, wananchi na waTanzania wote wanaojianda kushiriki kikamilifu kampeni na hatimae uchaguzi mkuu wa kihistoria utakaofanyika mapema october 2025.
Usipange kukosa tukio hili maalumu la kikatiba nchini. :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania
NRNE
 
Nashangaa , sisi sote ni Watanzania. Uwepo wa vyama vingi haiondoi umoja na Utanzania wetu. Lugha ya muanzisha uzi kuwa wengine ni matapeli ni kwasababu yeye hayuko upande huo, hoja zizingatiwe kwa pande zote. Wanaosema No reform no election wana hoja ukiwa neutral utaelewa..na wanaopuuza wana hoja zao ukiwa neutral pia utaelewa kisha utapima hoja za pande zote. Mfano hoja ya no reform tangi wapo, tangu huko nyuma kuna watu hawapigi kura wao binafsi kwasababu hawaridhishwi na baadhi ya mifumo ya uchaguzi..hata wakipiga kura ni kama hawajapiga..wanaamua kutoshiriki. Kupiga au kupigiwa kura ni hiari..wenye mamlaka wanapaswa kuwasikiliza wapiga kura,..anyway tunahitaji amani zaidi hapa nchini kuliko chochote..wote tudumishe amani
 
No reforms No Election
Naona umekimbia mwenyewe mleta mada,
Kwa kweli tumeichoka ccm na ni Maombi ya watanzania wengi hiki chama kishindwe then Kife Na kizikwe kabisa.
 
kumbuka,
uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania ni october mwaka huu 2025.
kua sehemu ya kuamua mustakabali wa uongozi wa taifa lako :NoGodNo:
 
No reforms No Election
Naona umekimbia mwenyewe mleta mada,
Kwa kweli tumeichoka ccm na ni Maombi ya watanzania wengi hiki chama kishindwe then Kife Na kizikwe kabisa.
chadema ilishajifia kitambo tu gentleman,
ndio maana iko rejected ground, field na hata mitandaoni:pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom