Issakson makanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 876
- 1,476
Ground ipi apo kondoa mmewapanga hao wamama
#NO REFORM NO ELECTION
#NO REFORM NO ELECTION
Msalaba siyo!?
Sanduku la Nape 😂😂😂😂kibali cha Mungu hupitia kwa wanadamu my lady, tena kwenye sanduku la kura.
vinginevyo ni unazungumzia ramli na ushirikina![]()
Mpumbavu ni wewe, No reforms, no elections imewaingia wananchi kwenye damu kabisa. Nyie sombeni watu na malori na kuwavalisha wanafunzi tishet za kijani na njano.upumbavu ni hiyo no reform no elections gentleman![]()
Chawai relax![]()
Matumizi mabaya ya neno "LICHA"Huna akili wewe licha ya kuwa CCM
Mpumbavu ni wewe, No reforms, no elections imewaingia wananchi kwenye damu kabisa. Nyie sombeni watu na malori na kuwavalisha wanafunzi tishet za kijani na njano.
mabadiliko yalishafanyika gentleman,Mabadiliko tulipofikia lazima yafanyike,watawala wawaambie watoto wao,ndugu zao,machawa wao na wanufaika wengine wa mfumo uliopo,kua hali si hali,mabadiliko yanaweza yakaja wakati wieote,hivyo wajiandae kisaikolojia.
Kwasasa inakua ngumu kudanganya watu.

Mtu anaekwenda kupiga kura kwenye tume ya uchaguzi iliyoteuliwa na CCM ninadhani huyo akili zake haziko vizuri.Karibu pumzi inawaishaia hao vibaka na matapeli wa kisiasa na hiyo nonsense yao ya no reform no elections.
Hongera sana wananchi wote ground, field na mitandaoni kwa kukataa kubebwa ufala wa kifikra na hao matapeli wa kisiasa waliopoteza uelekeo.
Mmewapuuza kwa maneno na matendo kijasiri, vizuri sana, na kutowachangiwa pesa kulingana na matarajio yo kumewavuruga, kumewaumbua na kuwyumbisha zaidi kisiasa na kimaisha, kwasabau maisha yao hutegemea kuchangiwa pesa za kujikimu kwenye mikutano ya hadhara.
Baada ya hali tete ground na field eti wamehamia mitandaoni, ambapo huku nako wameangukia pua mbaya sana. Wanapingwa vikali na kupuuzwa kwa kiwango kile kile wanachopuuzwa na wananchi field na ground. Kwakweli wanaopitia wakati mgumu sana kisiasa, huku ukata mkali wa fedha za kuendeshwa chama chao na ugumu wa maisha mkali sana kwa viongozi waandamizi wasiao na ajira wanateseka sana.
Viongozi wengi waandamizi wa chadema wanategemea kuishi kwa kuchangiwa pesa za matumizi kwenye kibakuli na wananchi wasamaria wema kwenye mikutano yao ambayo kwasasa imekosa mvuto, nguvu na imepoteza uelekeo kabisa. Kadiri wanavyopuuzwa na wananchi field na mitandaoni ndivyo wanavyo pata pesa kidunchu sana za kujikimu, maana hawana namna nyingine ya kuishi bali kuomba omba kuchangiwa. Ni aibu bau hawana ujanja.
My friends, ladies and gentleman,
mnakumbuka michango ya tone tone kidigitali ilikauka baada matumizi mabaya ya kamati kuu na hatimae wanachadema kugoma kuchangia tena? Tone tone to ya kwenye kibakuli nayo soon itakauka kwasababu hali ni mbaya zaidi, na huo ndio utakua mwisho wa uropokaji na hiyo nonsense ya no reform no elections.
Nawatakia maandalizi mema ya mwisho, wananchi na waTanzania wote wanaojianda kushiriki kikamilifu kampeni na hatimae uchaguzi mkuu wa kihistoria utakaofanyika mapema october 2025.
Usipange kukosa tukio hili maalumu la kikatiba nchini.
Mungu Ibariki Tanzania
mwenye bongo kali hawezi kubebwa ufala kifikra na kibaka au tapeli wa kisiasa kidezi hivyo gentlemanMtu anaekwenda kupiga kura kwenye tume ya uchaguzi iliyoteuliwa na CCM ninadhani huyo akili zake haziko vizuri.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya hivyo.

mabadiliko yalishafanyika gentleman,
pole kwa kuugulia athari za kususia kikosi kazi kilichozaa mabadiliko na maboresho yaliyofanyika nchini.
endelea na moyo huo huo wa kuzira na kususia mambo muhimu nchini na kujipa umuhimu wa kilofa usiostahili ukadahani kuna kubembelezwa nyakati hizi![]()