endesha
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 1,680
- 2,760
Umeona lakini leo Dodoma mjini ari ya wananchi??walilipwa ela ya sku 1 tu mpaka tone tone wachange tena
Tone tone tu ilimwagika kama mvua ya masika.

No reform No electionNo Reforms No Election,Tunataka viongozi wanaowajibika kwa wananchi bila kujali ni ccm au chadema.Kodi zetu ziheshimiwe aisee mnatukata kodi afu hazifanyi kazi.
Huu sio mjadala wewe tayari uko bias and obsessed na chama chako. How comes this is a debate?mihemko na uropokaji ni nonsense gentleman kwenye mijadala kama hii![]()
Jitekenye!Karibu pumzi inawaishaia hao vibaka na matapeli wa kisiasa na hiyo nonsense yao ya no reform no elections.
Hongera sana wananchi wote ground, field na mitandaoni kwa kukataa kubebwa ufala wa kifikra na hao matapeli wa kisiasa waliopoteza uelekeo.
Mmewapuuza kwa maneno na matendo kijasiri, vizuri sana, na kutowachangiwa pesa kulingana na matarajio yo kumewavuruga, kumewaumbua na kuwyumbisha zaidi kisiasa na kimaisha, kwasabau maisha yao hutegemea kuchangiwa pesa za kujikimu kwenye mikutano ya hadhara.
Baada ya hali tete ground na field eti wamehamia mitandaoni, ambapo huku nako wameangukia pua mbaya sana. Wanapingwa vikali na kupuuzwa kwa kiwango kile kile wanachopuuzwa na wananchi field na ground. Kwakweli wanaopitia wakati mgumu sana kisiasa, huku ukata mkali wa fedha za kuendeshwa chama chao na ugumu wa maisha mkali sana kwa viongozi waandamizi wasiao na ajira wanateseka sana.
Viongozi wengi waandamizi wa chadema wanategemea kuishi kwa kuchangiwa pesa za matumizi kwenye kibakuli na wananchi wasamaria wema kwenye mikutano yao ambayo kwasasa imekosa mvuto, nguvu na imepoteza uelekeo kabisa. Kadiri wanavyopuuzwa na wananchi field na mitandaoni ndivyo wanavyo pata pesa kidunchu sana za kujikimu, maana hawana namna nyingine ya kuishi bali kuomba omba kuchangiwa. Ni aibu bau hawana ujanja.
My friends, ladies and gentleman,
mnakumbuka michango ya tone tone kidigitali ilikauka baada matumizi mabaya ya kamati kuu na hatimae wanachadema kugoma kuchangia tena? Tone tone to ya kwenye kibakuli nayo soon itakauka kwasababu hali ni mbaya zaidi, na huo ndio utakua mwisho wa uropokaji na hiyo nonsense ya no reform no elections.
Nawatakia maandalizi mema ya mwisho, wananchi na waTanzania wote wanaojianda kushiriki kikamilifu kampeni na hatimae uchaguzi mkuu wa kihistoria utakaofanyika mapema october 2025.
Usipange kukosa tukio hili maalumu la kikatiba nchini.
Mungu Ibariki Tanzania
Amaaa!Karibu pumzi inawaishaia hao vibaka na matapeli wa kisiasa na hiyo nonsense yao ya no reform no elections.

Muhammad Saeed Al-Sahhaf alias Comical Ali.chadema ilishajifia kitambo tu gentleman,
ndio maana iko rejected ground, field na hata mitandaoni![]()
sasa wana kazi gan wakati chama hakishiriki so hawapigi kura automaticallyUmeona lakini leo Dodoma mjini ari ya wananchi??
Tone tone tu ilimwagika kama mvua ya masika.
ukweli haunaga bias gentleman,Huu sio mjadala wewe tayari uko bias and obsessed na chama chako. How comes this is a debate?
Wewe kaimbe mitano tena
Nonsense.
Karibu pumzi inawaishaia hao vibaka na matapeli wa kisiasa na hiyo nonsense yao ya no reform no elections.
Hongera sana wananchi wote ground, field na mitandaoni kwa kukataa kubebwa ufala wa kifikra na hao matapeli wa kisiasa waliopoteza uelekeo.
Mmewapuuza kwa maneno na matendo kijasiri, vizuri sana, na kutowachangiwa pesa kulingana na matarajio yo kumewavuruga, kumewaumbua na kuwyumbisha zaidi kisiasa na kimaisha, kwasabau maisha yao hutegemea kuchangiwa pesa za kujikimu kwenye mikutano ya hadhara.
Baada ya hali tete ground na field eti wamehamia mitandaoni, ambapo huku nako wameangukia pua mbaya sana. Wanapingwa vikali na kupuuzwa kwa kiwango kile kile wanachopuuzwa na wananchi field na ground. Kwakweli wanaopitia wakati mgumu sana kisiasa, huku ukata mkali wa fedha za kuendeshwa chama chao na ugumu wa maisha mkali sana kwa viongozi waandamizi wasiao na ajira wanateseka sana.
Viongozi wengi waandamizi wa chadema wanategemea kuishi kwa kuchangiwa pesa za matumizi kwenye kibakuli na wananchi wasamaria wema kwenye mikutano yao ambayo kwasasa imekosa mvuto, nguvu na imepoteza uelekeo kabisa. Kadiri wanavyopuuzwa na wananchi field na mitandaoni ndivyo wanavyo pata pesa kidunchu sana za kujikimu, maana hawana namna nyingine ya kuishi bali kuomba omba kuchangiwa. Ni aibu bau hawana ujanja.
My friends, ladies and gentleman,
mnakumbuka michango ya tone tone kidigitali ilikauka baada matumizi mabaya ya kamati kuu na hatimae wanachadema kugoma kuchangia tena? Tone tone to ya kwenye kibakuli nayo soon itakauka kwasababu hali ni mbaya zaidi, na huo ndio utakua mwisho wa uropokaji na hiyo nonsense ya no reform no elections.
Nawatakia maandalizi mema ya mwisho, wananchi na waTanzania wote wanaojianda kushiriki kikamilifu kampeni na hatimae uchaguzi mkuu wa kihistoria utakaofanyika mapema october 2025.
Usipange kukosa tukio hili maalumu la kikatiba nchini.
Mungu Ibariki Tanzania
nimeona walivyogoma na kukataa kuchangia tone tone kwenye kibakuli halafu wakaanza kuhoji kwanini wachangie na hakuna kazi ya kufanya, aibu sana gentlemanUmeona dodoma leo?
Nyomi kama ile kwa ccm basi ujue diamond na Ali Kiba wapo
Na watu wamebebwa na magari
Unajitenya na kujichekesha kama zezeta.nimeona walivyogoma na kukataa kuchangia tone tone kwenye kibakuli halafu wakaanza kuhoji kwanini wachangie na hakuna kazi ya kufanya, aibu sana gentleman
kesho kina heche sijui kama watakua na pesa ya chai asubuh 🐒