Heko Watanzania kuipuuza kizalendo nonsense ya No reform no elections ground, field na kwenye mitandao ya kijamii

Thank ccm kwa namna mnavyoipigia chepuo no reform no Election, hasa wewe mtoa mda
Karibu pumzi inawaishaia hao vibaka na matapeli wa kisiasa na hiyo nonsense yao ya no reform no elections.
Hongera sana wananchi wote ground, field na mitandaoni kwa kukataa kubebwa ufala wa kifikra na hao matapeli wa kisiasa waliopoteza uelekeo.
Mmewapuuza kwa maneno na matendo kijasiri, vizuri sana, na kutowachangiwa pesa kulingana na matarajio yo kumewavuruga, kumewaumbua na kuwyumbisha zaidi kisiasa na kimaisha, kwasabau maisha yao hutegemea kuchangiwa pesa za kujikimu kwenye mikutano ya hadhara.

Baada ya hali tete ground na field eti wamehamia mitandaoni, ambapo huku nako wameangukia pua mbaya sana. Wanapingwa vikali na kupuuzwa kwa kiwango kile kile wanachopuuzwa na wananchi field na ground. Kwakweli wanaopitia wakati mgumu sana kisiasa, huku ukata mkali wa fedha za kuendeshwa chama chao na ugumu wa maisha mkali sana kwa viongozi waandamizi wasiao na ajira wanateseka sana.

Viongozi wengi waandamizi wa chadema wanategemea kuishi kwa kuchangiwa pesa za matumizi kwenye kibakuli na wananchi wasamaria wema kwenye mikutano yao ambayo kwasasa imekosa mvuto, nguvu na imepoteza uelekeo kabisa. Kadiri wanavyopuuzwa na wananchi field na mitandaoni ndivyo wanavyo pata pesa kidunchu sana za kujikimu, maana hawana namna nyingine ya kuishi bali kuomba omba kuchangiwa. Ni aibu bau hawana ujanja.

My friends, ladies and gentleman,
mnakumbuka michango ya tone tone kidigitali ilikauka baada matumizi mabaya ya kamati kuu na hatimae wanachadema kugoma kuchangia tena? Tone tone to ya kwenye kibakuli nayo soon itakauka kwasababu hali ni mbaya zaidi, na huo ndio utakua mwisho wa uropokaji na hiyo nonsense ya no reform no elections.

Nawatakia maandalizi mema ya mwisho, wananchi na waTanzania wote wanaojianda kushiriki kikamilifu kampeni na hatimae uchaguzi mkuu wa kihistoria utakaofanyika mapema october 2025.
Usipange kukosa tukio hili maalumu la kikatiba nchini. :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania
 
Unaona unavyotukanwa?watanzania wanataka mabadiliko nyie watu wajinga wachache hamuwezi kuzuia.
matusi ni nonsense ya watu useless gentleman,
unandahni kuna kitu ingine wanaweza hao malofa waporomosha matusi?:pulpTRAVOLTA:
 
Hata wajaze server ni kweli kwamba Mamluki vibaraka wa Wazungu na walioungana na wahuni wa mitandaoni wa Kenya hawafai kuongoza hata Chama chao wanachokiongoza
uko sahihi gentleman:KasugaYeah:
 
Huna akili wewe, kampeni imabamba mpaka mmefunga comments kwenye accounts za social media unakuja hapa na uharo, stupid woman
tuliza mihemko bas my lady,
hiyo nonsense yenu kua rejected field, ground na kwenye social media ni demokrasia pia. kubalini tu kwamba wananchi na waTanzania wote wamewapuuza:pulpTRAVOLTA:
 
Hajapata kibali mbele za Mungu, watu wamemkataa
kibali cha Mungu hupitia kwa wanadamu my lady, tena kwenye sanduku la kura.

vinginevyo ni unazungumzia ramli na ushirikina:pulpTRAVOLTA:
 
CHADEMA wamechanganyikiwa kabisa kwa sasa. Nguvu na ushawishi wa Rais Samia umewavuruga kabisa akili. Ndio maana wameona waweke mpira kwapani.
wanachadema wenyewe wamechoka kuwachangia kila siku watu wasio na ajira na wana nguvu za kufanya kazi kama vile heche na lema:pedroP:
 
No reform no election 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

1749402319081.png
 
Amka ndotoni comrade utakunya mavi usingizini wagogo leo huko wameamka na No reform No Election unaowaona mtandaoni ndio wawakilishi wawananchi hawaishi mbinguni mkali sanuka
usikubali kubebwa ufala kifikra na hao matapeli wa kisiasa kindezi hivyo gentleman:pulpTRAVOLTA:
 
B
Karibu pumzi inawaishaia hao vibaka na matapeli wa kisiasa na hiyo nonsense yao ya no reform no elections.
Hongera sana wananchi wote ground, field na mitandaoni kwa kukataa kubebwa ufala wa kifikra na hao matapeli wa kisiasa waliopoteza uelekeo.
Mmewapuuza kwa maneno na matendo kijasiri, vizuri sana, na kutowachangiwa pesa kulingana na matarajio yo kumewavuruga, kumewaumbua na kuwyumbisha zaidi kisiasa na kimaisha, kwasabau maisha yao hutegemea kuchangiwa pesa za kujikimu kwenye mikutano ya hadhara.

Baada ya hali tete ground na field eti wamehamia mitandaoni, ambapo huku nako wameangukia pua mbaya sana. Wanapingwa vikali na kupuuzwa kwa kiwango kile kile wanachopuuzwa na wananchi field na ground. Kwakweli wanaopitia wakati mgumu sana kisiasa, huku ukata mkali wa fedha za kuendeshwa chama chao na ugumu wa maisha mkali sana kwa viongozi waandamizi wasiao na ajira wanateseka sana.

Viongozi wengi waandamizi wa chadema wanategemea kuishi kwa kuchangiwa pesa za matumizi kwenye kibakuli na wananchi wasamaria wema kwenye mikutano yao ambayo kwasasa imekosa mvuto, nguvu na imepoteza uelekeo kabisa. Kadiri wanavyopuuzwa na wananchi field na mitandaoni ndivyo wanavyo pata pesa kidunchu sana za kujikimu, maana hawana namna nyingine ya kuishi bali kuomba omba kuchangiwa. Ni aibu bau hawana ujanja.

My friends, ladies and gentleman,
mnakumbuka michango ya tone tone kidigitali ilikauka baada matumizi mabaya ya kamati kuu na hatimae wanachadema kugoma kuchangia tena? Tone tone to ya kwenye kibakuli nayo soon itakauka kwasababu hali ni mbaya zaidi, na huo ndio utakua mwisho wa uropokaji na hiyo nonsense ya no reform no elections.

Nawatakia maandalizi mema ya mwisho, wananchi na waTanzania wote wanaojianda kushiriki kikamilifu kampeni na hatimae uchaguzi mkuu wa kihistoria utakaofanyika mapema october 2025.
Usipange kukosa tukio hili maalumu la kikatiba nchini. :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania
Wazazi wako waliambulia utamu tu hapa.
 
Tulitumika kama daraja sasa hivi familiar zao zipo Canada,Ubelgiji. Tulitumika kama daraja watu wakahongwa Ubalozi wa Ubelgiji. Tulitumika kama daraja watu walikarudi CCM nakupewa uDC na uRC. Tulitumika,watu waliuwawa,tuliumia baadaye walituacha kwenye mataa na kuhongwa vyeo CCM.
Najitenga kutumika kama daraja kwa faida ya wengine ambao naamini watatuacha tena. Nyie endeleeni tu mimi sitathubutu kutia mguu wangu road kuandamana.
1. MASUMBUKO LAMWAI(NCCR-CCM)
2. SALUM MSABAHA(ile CUF ya moto-CCM)
3. MCHUNGAJI GWAJIMA(CHADEMA>CCM-?)
4. WILBROAD SLAA CCM-CDM-CCM-CDM)
5.HALIMA MDEE +18
6.PATROBAS KATAMBI(CDM- CCM)
7. SALOME MAKAMBA(CDM-CCM)
8. MTATIRO ( CUF- CCM)
9. PROF KITILA MKUMBO(CDM- CCM)
10. MCHUNGAJI PETER MSIGWA(CDM-CCM)
11. DAVID MWASHILINDI(CDM-CCM)
12. DAVID KAFULILA(CDM-CCM)
13. MAULID MTULIA(TEMEKE MB CUF -CCM)
14. ABDALA MTOLEA ( KINONDONI MB CUF -CCM)
15. MWITA WAITARA(CDM-CCM)
16. JULIAS KALANGA(CDM-CCM)
17. MOSES MACHALI(NCCR-CCM)
18. ALBERT MSANDO( CDM-CCM)
19. EMANUEL MACHIBYA( CDM -CCM)
20. DAVID SILINDE(CDM-CCM)
21. JULIANA SHONZA(CDM-CCM)
22. GODWIN MOLEL(CDM-CCM)
23. LATIFA CHANDE(CDM-CCM)
24. ANNA GIDARYA( CDM-CCM)
25.DR EMMAKULATE SEMESI SWARE(CDM-CCM)
26. MARWA RYOBA(CDM-CCM)
27. JOSEPH MKUNDI(CDM-CCM)
28. JAMES OLE MILYA(CDM-CCM)
29.PAULINE GEKUL(CDM-CCM)
30. JOSHUA NASSRI(CDM>CCM)
31. DR VICENT MASHINJI(CDM-CCM)
32. DR WILBROAD SLAA(CCM-CHADEMA-CCM-CHADEMA)
33. LOWASSA (CCM-CHADEMA-CCM)
34. SUMAYE (CCM-CHADEMA-CCM)
35. RAZARO NYARANDU(CCM-CHADEMA- CCM)
36.PROF KITILA MKUMBO( CDM-CCM)
37. DR MAKONGORO MAHANGA( CCM- CHADEMA- CCM)
40. AUGUSTINO LIYATONGA MREMA( CCM-NCCR- CCM)
41. KINGUNGE NGOMBALE MWILU( CCM-CDM)
42.
 
wengine walidai kutumika kama makarai chadema-Patrobas Katambi, sasa ni boss mwenzangu:pulpTRAVOLTA:
 
Karibu pumzi inawaishaia hao vibaka na matapeli wa kisiasa na hiyo nonsense yao ya no reform no elections.
Hongera sana wananchi wote ground, field na mitandaoni kwa kukataa kubebwa ufala wa kifikra na hao matapeli wa kisiasa waliopoteza uelekeo.
Mmewapuuza kwa maneno na matendo kijasiri, vizuri sana, na kutowachangiwa pesa kulingana na matarajio yo kumewavuruga, kumewaumbua na kuwyumbisha zaidi kisiasa na kimaisha, kwasabau maisha yao hutegemea kuchangiwa pesa za kujikimu kwenye mikutano ya hadhara.

Baada ya hali tete ground na field eti wamehamia mitandaoni, ambapo huku nako wameangukia pua mbaya sana. Wanapingwa vikali na kupuuzwa kwa kiwango kile kile wanachopuuzwa na wananchi field na ground. Kwakweli wanaopitia wakati mgumu sana kisiasa, huku ukata mkali wa fedha za kuendeshwa chama chao na ugumu wa maisha mkali sana kwa viongozi waandamizi wasiao na ajira wanateseka sana.

Viongozi wengi waandamizi wa chadema wanategemea kuishi kwa kuchangiwa pesa za matumizi kwenye kibakuli na wananchi wasamaria wema kwenye mikutano yao ambayo kwasasa imekosa mvuto, nguvu na imepoteza uelekeo kabisa. Kadiri wanavyopuuzwa na wananchi field na mitandaoni ndivyo wanavyo pata pesa kidunchu sana za kujikimu, maana hawana namna nyingine ya kuishi bali kuomba omba kuchangiwa. Ni aibu bau hawana ujanja.

My friends, ladies and gentleman,
mnakumbuka michango ya tone tone kidigitali ilikauka baada matumizi mabaya ya kamati kuu na hatimae wanachadema kugoma kuchangia tena? Tone tone to ya kwenye kibakuli nayo soon itakauka kwasababu hali ni mbaya zaidi, na huo ndio utakua mwisho wa uropokaji na hiyo nonsense ya no reform no elections.

Nawatakia maandalizi mema ya mwisho, wananchi na waTanzania wote wanaojianda kushiriki kikamilifu kampeni na hatimae uchaguzi mkuu wa kihistoria utakaofanyika mapema october 2025.
Usipange kukosa tukio hili maalumu la kikatiba nchini. :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania
Kazi yako tafuu mno kama hufaidiki kwenye ukwasi kama zile loyal family za CCM ujitafakari upya
 
NO REFORMS NO ELECTION

Huu ndio mpango mzima kwa sasa

Porojo na ujinga wenu kaeni nao huko Lumumba
 
Back
Top Bottom