Heko Watanzania kuipuuza kizalendo nonsense ya No reform no elections ground, field na kwenye mitandao ya kijamii

mwenye bongo kali hawezi kubebwa ufala kifikra na kibaka au tapeli wa kisiasa kidezi hivyo gentleman:pulpTRAVOLTA:
Mtu mwenye akili timamu hawezi kwenda kupiga kura kwny tume ya uchaguzi iliyoteuliwa na chama cha siasa, ambacho ni moja ya washindani wa uchaguzi huo.

Watanzania tunachekwa sana, ni kama vile nchi ya wendawazimu.
 
JamiiForums

Pre GE2025 CCM: No reform, No election, ni matokeo ya matendo yetu, Tujisahihishe!​

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jump to newSubscribe
•••
[IMG alt="Dr Adam Francis"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/51/51373.jpg?1737727793[/IMG]

Dr Adam Francis​

Member​

Mwaka 1962, Mwalimu Nyerere aliandika kitabu kidogo cha kurasa 20 kinaitwa TUJISAHIHISHE. Kwa maoni yangu wana CCM ni vema tukajikumbusha maudhui yake ili tulisaidie taifa.

Katika kitabu hiki Mwalimu Nyerere anasema "Ukiondoa matatizo wayapatayo binadamu kwa sababu ya mambo kama mafuriko, nzige, kiangazi, n.k., matatizo yao mengi hutokana na ubinafsi." Ni jambo lililo wazi kuwa ubinafsi wetu katika michakato ya uchaguzi ndio umetufikisha hapa. Picha tuliyoijenga ni kuwa nafasi zote tunataka ziwe zetu CCM, iwe tumechaguliwa au hatukuchaguliwa? Hata chache wanazopata wapinzani kwa haki, tunawapora.

Tutafakari ikiwa wagombea wa CCM wakikatwa nchi nzima, tukaambiwa hawajui kusoma na kuandika, sisi kama wana CCM tutajisikiaje? Au wagombea wetu wanapoenda kurudisha fomu wawe wanapigwa chenga na wakurugenzi mpaka muda wa kurudisha fomu unaisha halafu waambiwe wameshachelewa hivyo fomu zao hazitapokelewa? Au mawakala wa wagombea wetu wafanyiwe mizengwe kuingia kwenye vituo vya kupigua kura? Sisi wana CCM, tukitendewa mambo kama hayo tutakubaliana nayo?

Katika kitabu chake Mwalimu anasisitiza kuwa: “Makosa ni makosa bila kujali ni nani ameyafanya. Muhimu ni kuyajua makosa hayo na kujisahihisha.” Tujiulize, fomu za wagombea wa upinzani zingekuwa zinapokelewa bila mizengwe, wanateuliwa kugombea bila mizengwe, mawakala wao wanaruhusiwa kusimamia kura za wagombea wao bila mizengwe na pale wanaposhinda wanatangazwa bila mizengwe, Je, tungekuwa na No reform, No election?

Mwalimu alisema "hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujifanya hayapo" Yanayolalamikiwa na CHADEMA, yanaakisi kauli za Ndugu Nape za halali, nusu halali na halamu, pamoja na zile za DC Ng'umbi wa Longido kuhusu walichofanya 2020. Wenye wasiwasi na utendekaji wa haki kwenye chaguzi zetu sio CHADEMA tu, hata Prof. Assad CAG mstaafu naye anasema hata piga kura mpaka reform zifanyike. Madai ya reform sasa hivi yamekuwa ni ya watu wetu, na Mwalimu anatuasa "Chama cha siasa hakina budi kujishughulisha na shida za watu."

Mwalimu alitufundisha “Ukweli una tabia moja nzuri sana. Haujali mkubwa wala mdogo; haujali adui wala rafiki. Kwake watu wote ni sawa. Pia ukweli unayo tabia ya kujilipiza kisasi. Ukiniona nataka kulipiga teke jiwe kwa kuwa nafikiri kuwa ni dongo au mpira, natumaini utanionya. Lakini nikilipuuza onyo lako kwa sababu eti wewe ni mdogo au kwa sababu sikupendi, nikalipiga teke, basi litanivunja dole japo ningekuwa nani. Ukweli haupendi kupuuzwapuuzwa!”

Tumeaswa na baba wa Taifa kuwa "Watu walio hatari sana ni wale ambao wanafikiri kuwa wanajua kila kitu." Hakutakuwa na ubawa kuyafanyia kazi maoni ya wazee wetu akina Butiku na Warioba. Haswa ukizingatia hata viongozi wa dini nao wameshauri mazungumzo yafanyike. Kasoro zinazowezekana kurekebishika zirekebishwe, twende kwenye uchaguzi October tukiwa wamoja kama Taifa.

“Tujisahihishe. Tujitazame. Tujikague. Tujione. Tujirekebishe.” Mwl Nyerere 1966.
Gentleman,
ujio wa ilani mpya ya uchaguzi ya ccm ni kutokana na kujitathimini, kujitazama, kujikagua, kujisahihisha na kujirekebisaha. huo ni utamaduni wa kawaida ccm gentleman.
Na ndio maana mabadiliko mengi zaidI yameelezwa kufanyika awamu ijayo baada ya maboresho mengi zaidi pia kufanyika kwa weledi na mafanikio makubwa sana awamu hii inayoisjhia october mwaka huu2025.

kazi na utu, tusonge mbele pamoja gentleman:pulpTRAVOLTA:
 
Wanabodi

Baada ya ile miamala ya account ya kigogo fulani kuvuja hadharani kule kwenye ile page kile kidada kikichaa kimbaumbau cha kule,nikajiuliza,ni biashara gani ya cash transactions za that magnitude kwa mtumishi wa umma!,sikupata jibu!,ila nilipoanza kuudurufu utendaji wake sehemu yake,nikaanza to connect the dots!

Mtu unajiuliza kuhusu huu uwezo mdogo ajabu wa Jeshi letu la Polisi,na wale “jamaa zetu” unavyo uchafua kama nchi kitaifa na kimataifa, watu wasiojulikana wanajivinjari kila mahali,kusimamisha basi za abiria kwa kujitambulisha ni polisi,wanamshusha abiria na。kutokomea nae!,kesho yake asubuhi maiti yake inaokotwa ikiwa ameuawa kwa kufanyiwa unyama wa ajabu!

Wasiojulikana wanapigia watu simu kuwaita kituo cha polisi,unaitika wito unaaga nyumbani umeitwa polisi,unafika kituoni ndio mtolee!

Wasiojulikana wanafuata watu nyumbani na kujitambulisha ni polisi,wanakupiga mbele ya mkeo na familia yako,wanakuchukua,wanaondoka na wewe,ndio imetoka!。

Wasiojulikana wanafuata wageni hotelini,hoteli za nyota 5,CCTV cameras kila kona,wageni wanachukuliwa,wanawake wanabakwa,wanaume wana lawitiwa,na kufanyiwa tortured kisha wanatupwa ndani ya mipaka ya nchi zao!

Hii ya juzi kati ndio kubwa kuliko!, mtu kasema ukweli kuhusu incompetence yenu,
wanakwenda kukamata na kumkuta anahubiri!,mnavamia kanisa mnashindwa kumkamata!

Kama jeshi letu makini la polisi,linashindwa kumpata mtu mmoja tuu anayejulikana!,mnaamua kuyafungia makanisa yake yote!,hiyo karma ya maumivu ya waimini wote hawa nani ataibeba?!。Mambo mengine mbona ni kujichumia dhambi na kujiletea mabalaa tuu bila sababu za msingi?!, kama ni kukosea kakosea mtu mmoja,mnalifunga kanisa,lina kosa gani?!。

Sasa kama hawa polisi wetu wameshindwa kumkamata huyu mtu mmoja anayejulikana, hili jeshi linaweza nini?!,what are the chances kwa polisi hawa kuwapata wasiojulikana?!。

Hii incompetence ya jeshi letu la polisi,si litakuja kutuponza mtu wetu adakuliwe,apelekwe the Hague?!。

Nimemsikiliza hapa Mzee Joseph Butiku,kuna kitu amesema。。。

Mimi pia niliwahi kushauri

Kwa vile polisi wetu nao ni binadamu,hakuna mtu anayeweza kila kitu!,hivyo kuna vitu sisi hatuwezi lakini wengine wanaweza, hivyo nilishauri

Miongoni mwa watu wenye uwezo mkubwa wa kusaidia ni sisi waandishi wa habari

Hitimisho
Kama tumeshindwa kuendesha bandari yetu,tukasaidiwa na DPW ya Dubai,Sasa ni mwendokasi,bado ATC na SGR,kama Jeshi letu linashindwa kuwapata wasiojulikana,litangaze,ama kitengo cha uchunguzi kibinafsishwe tuingie ubia na The Scotland Yard,ama kisaidiwe na private investigators!。

Wakati yote haya yakiendelea,huku hii incompetence ikiendelea, huku ile personal account ya yule nanilii,miamala inaendelea kusoma!,cash ya magnitude hiyo,inatoka kwenye biashara gani ya cash hiyo kwa mtu huyo?!。
 
hizo isuues ndogo ndogo za mtu moja moja sio za kubabaika nazo sana gentleman.
Tusonge mbele kama taifa :pulpTRAVOLTA:
 
1749331601329.jpg
 
Karibu pumzi inawaishaia hao vibaka na matapeli wa kisiasa na hiyo nonsense yao ya no reform no elections.
Hongera sana wananchi wote ground, field na mitandaoni kwa kukataa kubebwa ufala wa kifikra na hao matapeli wa kisiasa waliopoteza uelekeo.
Mmewapuuza kwa maneno na matendo kijasiri, vizuri sana, na kutowachangiwa pesa kulingana na matarajio yo kumewavuruga, kumewaumbua na kuwyumbisha zaidi kisiasa na kimaisha, kwasabau maisha yao hutegemea kuchangiwa pesa za kujikimu kwenye mikutano ya hadhara.

Baada ya hali tete ground na field eti wamehamia mitandaoni, ambapo huku nako wameangukia pua mbaya sana. Wanapingwa vikali na kupuuzwa kwa kiwango kile kile wanachopuuzwa na wananchi field na ground. Kwakweli wanaopitia wakati mgumu sana kisiasa, huku ukata mkali wa fedha za kuendeshwa chama chao na ugumu wa maisha mkali sana kwa viongozi waandamizi wasiao na ajira wanateseka sana.

Viongozi wengi waandamizi wa chadema wanategemea kuishi kwa kuchangiwa pesa za matumizi kwenye kibakuli na wananchi wasamaria wema kwenye mikutano yao ambayo kwasasa imekosa mvuto, nguvu na imepoteza uelekeo kabisa. Kadiri wanavyopuuzwa na wananchi field na mitandaoni ndivyo wanavyo pata pesa kidunchu sana za kujikimu, maana hawana namna nyingine ya kuishi bali kuomba omba kuchangiwa. Ni aibu bau hawana ujanja.

My friends, ladies and gentleman,
mnakumbuka michango ya tone tone kidigitali ilikauka baada matumizi mabaya ya kamati kuu na hatimae wanachadema kugoma kuchangia tena? Tone tone to ya kwenye kibakuli nayo soon itakauka kwasababu hali ni mbaya zaidi, na huo ndio utakua mwisho wa uropokaji na hiyo nonsense ya no reform no elections.

Nawatakia maandalizi mema ya mwisho, wananchi na waTanzania wote wanaojianda kushiriki kikamilifu kampeni na hatimae uchaguzi mkuu wa kihistoria utakaofanyika mapema october 2025.
Usipange kukosa tukio hili maalumu la kikatiba nchini. :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania
NO REFORM NO ELECTION
 
Unatumia nguvu nyingi sisi ni No reform No election
kueleza ukweli hapahitaji nguvu gentleman,
ndio maana hata ground, field na kwenye mitandao ya kijamii wameipuuza hiyo nonsense kwa hali na mali kirahisi sana.

wananchi wanajielewa bana,
hawawezi kubebwa ufala kindenzi ndezi tu na vibaka wa siasa waliopoteza uelekeo :pulpTRAVOLTA:
 
No reform No election
 
Acha kujifariji Wewe mfaidika wa ujanja ujanja
ukweli sio faraja gentleman,
nakueleza ukweli ili upate kua huru na ujiepushe kubebwa ufala kifikra kilofa na vibaka wa kisaiasa waliopoteza uelekeo:pulpTRAVOLTA:
 
Nimethibitisha kua kweli wewe ni Chawa new model
hapa sio suala la model gentleman,
suala hapa ni kua rejected kwa nonsese ya no reform no elections kwa hali na mali ground, field na kwenye mitandao ya kijamii:pulpTRAVOLTA:
 
Karibu pumzi inawaishaia hao vibaka na matapeli wa kisiasa na hiyo nonsense yao ya no reform no elections.
Hongera sana wananchi wote ground, field na mitandaoni kwa kukataa kubebwa ufala wa kifikra na hao matapeli wa kisiasa waliopoteza uelekeo.
Mmewapuuza kwa maneno na matendo kijasiri, vizuri sana, na kutowachangiwa pesa kulingana na matarajio yo kumewavuruga, kumewaumbua na kuwyumbisha zaidi kisiasa na kimaisha, kwasabau maisha yao hutegemea kuchangiwa pesa za kujikimu kwenye mikutano ya hadhara.

Baada ya hali tete ground na field eti wamehamia mitandaoni, ambapo huku nako wameangukia pua mbaya sana. Wanapingwa vikali na kupuuzwa kwa kiwango kile kile wanachopuuzwa na wananchi field na ground. Kwakweli wanaopitia wakati mgumu sana kisiasa, huku ukata mkali wa fedha za kuendeshwa chama chao na ugumu wa maisha mkali sana kwa viongozi waandamizi wasiao na ajira wanateseka sana.

Viongozi wengi waandamizi wa chadema wanategemea kuishi kwa kuchangiwa pesa za matumizi kwenye kibakuli na wananchi wasamaria wema kwenye mikutano yao ambayo kwasasa imekosa mvuto, nguvu na imepoteza uelekeo kabisa. Kadiri wanavyopuuzwa na wananchi field na mitandaoni ndivyo wanavyo pata pesa kidunchu sana za kujikimu, maana hawana namna nyingine ya kuishi bali kuomba omba kuchangiwa. Ni aibu bau hawana ujanja.

My friends, ladies and gentleman,
mnakumbuka michango ya tone tone kidigitali ilikauka baada matumizi mabaya ya kamati kuu na hatimae wanachadema kugoma kuchangia tena? Tone tone to ya kwenye kibakuli nayo soon itakauka kwasababu hali ni mbaya zaidi, na huo ndio utakua mwisho wa uropokaji na hiyo nonsense ya no reform no elections.

Nawatakia maandalizi mema ya mwisho, wananchi na waTanzania wote wanaojianda kushiriki kikamilifu kampeni na hatimae uchaguzi mkuu wa kihistoria utakaofanyika mapema october 2025.
Usipange kukosa tukio hili maalumu la kikatiba nchini. :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania
No Reforms No Election,Tunataka viongozi wanaowajibika kwa wananchi bila kujali ni ccm au chadema.Kodi zetu ziheshimiwe aisee mnatukata kodi afu hazifanyi kazi.
 
Back
Top Bottom