Kabisa na hapa ndipo itakufa mazima.Na kama RUSHWA itatumika kwenye Uchaguzi wa Uenyekiti wa CHADEMA dhidi Lissu basi CHADEMA byebye!!
Kitabaki tu kuwa Kijiwe cha kunywea Mtori.Kabisa na hapa ndipo itakufa mazima.
Atakuwa anajimaliza mwenyeweKwa mtazamo wangu, aliyokuwa anayasema Lissu sasa tunaanza. kuyaona wazi wazi na hivyo ni swala la muda tu kabla Lissu hamjamuumbua Mbowe.
we jamaa bwana πππWacha weee πππ
Naona history inazidi kujirudia. Hapo kale, NCCR Mageuzi kilikuwa chama kikuu cha upinzani. Kilidhoofishwa na kuporomoshwa na migogoro/mipasuko ya design hii. Baada ya hapo chama cha CUF kikalivaa hilo taji la chama kikuu cha upinzani. Kama vile watu wake hawakujifunza yale yaliyokiporomosha chama cha NCCR Mageuzi, nao hawakuweza kuyaepuka; CUF nayo ikaporomoka na hivi ninavyoandika (na wewe unaposoma) iko na inaendelea kuwa kwenye life support!Mwisho mzuri wa chadema.
π€π€π€Kuna jamaa aliniambia ile siku Mbowe alikutana na Mama Abdul baada ya kutoka Magereza alipewa Bil. 20
Then akaja kupewa Bil. 10 na ziliwekwa kwny Private Account
Aliyeniambia ni Mtu wa karibu sana na Jamaa
Labda iwe Uzushi π€£
πππF mbowe alianza kuonesha uhalisia wake tangu ile siku akihutubia mwanza
Wewe ungeziacha ukipewa?yaani pesa za bure bure uache ππKuna jamaa aliniambia ile siku Mbowe alikutana na Mama Abdul baada ya kutoka Magereza alipewa Bil. 20
Then akaja kupewa Bil. 10 na ziliwekwa kwny Private Account
Aliyeniambia ni Mtu wa karibu sana na Jamaa
Labda iwe Uzushi π€£
Sioni faida ya kuyaendeleza haya ya kulipuana. Kuna maswala ya muhimu kabisa ndani ya chama yanayo hitaji maelezo, ufafanuzi na namna ya utekelezaji wananchi wayaelewe vizuri ili wakati utakapo wadia, wafanye maamuzi muhimu.Kwa mtazamo wangu, aliyokuwa anayasema Lissu sasa tunaanza. kuyaona wazi wazi na hivyo ni swala la muda tu kabla Lissu hamjamuumbua Mbowe.
Unachanganya maswala mawili tofauti kabisa.Amlipue mtu aliyemshikia drip la kuongeza damu kutoka Dodoma - Nairobi, kwa ajili ya UWENYEKITI tu.
Mbowe kwa miujiza yoyote ile, kuendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, huo ndi mwisho wa chama hicho.Na kama RUSHWA itatumika kwenye Uchaguzi wa Uenyekiti wa CHADEMA dhidi Lissu basi CHADEMA byebye!!
Mungu ampe Hekima na Busara halfu ajichunge na Machawa.Mbowe kwa miujiza yoyote ile, kuendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, huo ndi mwisho wa chama hicho.
Na pesa walizokusanya TRA ni tamu balaa,nikizionja chuoWewe ungeziacha ukipewa?yaani pesa za bure bure uache ππ
Gia itabadilishiwa angani,siasa ni sayansi,sio kukomaa na unakufa njaa π