Hela ya Mama Abdul bila shaka inaendelea kufanya kazi, ni swala la muda tu kabla Lissu hajamlipua Mbowe

Hela ya Mama Abdul bila shaka inaendelea kufanya kazi, ni swala la muda tu kabla Lissu hajamlipua Mbowe

Of course Viongozi wengi wanomwekea kifua Mbowe ela za Mama Abdul zilipita kwenye mifuko Yao. Japo siwezi kusema kwa jua la huu Mwaka Lissu hakula hata Mia. Kwa mtazamo ghafla Mbowe amekua too weak kwenye kudai katiba mpya & that smell fishy

Mbowe apumzike ale pension asijishushie heshima yake.
 
Mwisho mzuri wa chadema.
Naona history inazidi kujirudia. Hapo kale, NCCR Mageuzi kilikuwa chama kikuu cha upinzani. Kilidhoofishwa na kuporomoshwa na migogoro/mipasuko ya design hii. Baada ya hapo chama cha CUF kikalivaa hilo taji la chama kikuu cha upinzani. Kama vile watu wake hawakujifunza yale yaliyokiporomosha chama cha NCCR Mageuzi, nao hawakuweza kuyaepuka; CUF nayo ikaporomoka na hivi ninavyoandika (na wewe unaposoma) iko na inaendelea kuwa kwenye life support!

Kwa mwenendo huu wa CHADEMA, ACT Wazalendo hawana budi kujiandaa kukipokea kijiti cha chama kikuu cha upinzani. Siamini kama CHADEMA ni clever enough kuweza kuukwepa huu mkenge!
 
Kuna jamaa aliniambia ile siku Mbowe alikutana na Mama Abdul baada ya kutoka Magereza alipewa Bil. 20

Then akaja kupewa Bil. 10 na ziliwekwa kwny Private Account

Aliyeniambia ni Mtu wa karibu sana na Jamaa

Labda iwe Uzushi 🤣
🤔🤔🤔
 
Wewe ungeziacha ukipewa?yaani pesa za bure bure uache 😀😀

Gia itabadilishiwa angani,siasa ni sayansi,sio kukomaa na unakufa njaa 😄
 
Kwa mtazamo wangu, aliyokuwa anayasema Lissu sasa tunaanza. kuyaona wazi wazi na hivyo ni swala la muda tu kabla Lissu hamjamuumbua Mbowe.
Sioni faida ya kuyaendeleza haya ya kulipuana. Kuna maswala ya muhimu kabisa ndani ya chama yanayo hitaji maelezo, ufafanuzi na namna ya utekelezaji wananchi wayaelewe vizuri ili wakati utakapo wadia, wafanye maamuzi muhimu.

Malumbano kati ya viongozi sasa yageukie kwenye uimara wa chama.

Hayo ya Mbowe kafanya hivi, au vile, tayari watu wamekwisha soma alama zote katika aliyofanya/shindwa kufanya Mbowe mwenyewe.
 
Mimi naona hapa wapambe wanamchonganisha Lissu na Mbowe kwa maslahi ya Chama pendwa!
 
Wewe ungeziacha ukipewa?yaani pesa za bure bure uache 😀😀

Gia itabadilishiwa angani,siasa ni sayansi,sio kukomaa na unakufa njaa 😄
Na pesa walizokusanya TRA ni tamu balaa,nikizionja chuo
 
Back
Top Bottom