Subiri kufilisikaHII NI KWELI KABISA KWA ASILIMIA MIA MOJA....MIMI IMESHANITOKEA NINA BIASHARA YANGU YA HARDWARE KUNA WAKE WATATU WA MTU NIMESHAWALA MPAKA SASA......KILA MMOJA KWA NYAKATI TOFAUTI WALIKOPA PESA ILI WAKAFANYE MAREJESHO ILA NILIPOKUWA NIKIDAI WALIKUWA WAKINIZUNGUSHA NA KUNICHEKEA CHEKEA....NIKACHOMEKA MANENO MATAMU NIKAPEWA MZIGO NIKAWASAMEHE HIZO HELA, ILA WAWILI WAMEENDELEA KUNIZOEA LAKINI MIMI NAWAPOTEZEA.
NILICHOGUNDUA ISHU HAPA SIYO WALA MAMBO YA KIUCHUMI BALI MWANAMKE NI MCHUNGU KUTOA PESA YAKE. ANAWEZA AKAWA NA KIPATO KIZURI ILA BADO AKAWA ANATEGEMEA MTEREMKO.
Hivi tunaposema risk factor ya mtu kupata prostate cancer ni umri mkubwa huwa tunamaanisha nini?..Sio kwamba ukishakuwa na umri mkubwa basi utapata prostate ca,no,ila wanaopata wengi umri umeendaHavina uhusiano
Sio kweliHivi tunaposema risk factor ya mtu kupata prostate cancer ni umri mkubwa huwa tunamaanisha nini?..Sio kwamba ukishakuwa na umri mkubwa basi utapata prostate ca,no,ila wanaopata wengi umri umeenda
Ni the same same na kusema"risk factor mojawapo ya mke kugongwa nje ni ufukara wa mumewe or both of them"
Umeamua tu kubisha bila sababu ya msingi..Sio kweli
Hakuna uhusiano kati ya umalaya na umaskini /utajiri...hivyo mimi ndivyo ninavyojuaUmeamua tu kubisha bila sababu ya msingi..
Risk factor unaelewa maana yake?Hakuna uhusiano kati ya umalaya na umaskini /utajiri...hivyo mimi ndivyo ninavyojua
Hakuna sababu, ni tabia tuRisk factor unaelewa maana yake?
Ukiulizwa taja sababu zinazosababisha "wanawake" kuwa malaya/kujiuza utataja nini?
Sasa sio lazima muwakomoe kwa ku-deal na mpulange aisee.Na hela zao wanazokopaga huko sijui wanazifanyia nini, unakuta ndo anahaha kutafuta ya kurudisha. Wasipojitambua na sie tutatake advantage hiyo.
Hahahaaaa..... Wajiangalie, udhaifu wao usiwaponze sasa.Sasa sio lazima muwakomoe kwa ku-deal na mpulange aisee.
Pole!Hakuna uhusiano kati ya umalaya na umaskini /utajiri...hivyo mimi ndivyo ninavyojua
AhsantePole!
Ni kweli wengi wanapigwa KUPITIA hela ya rejesho. .NAHIS HUWA WANAJISIKIA VIBAYA SANA YAAAN AIBU YA HALI YA KIWANGO CHA SGR AKIONEKANA YEYE NDO HAJAPELEKA HELA.... WIFE NILIMWAMBIA ASIJARIBU,ADUNDULIZE YAKE..Ni kweli mtupu hivi Vicoba vinatoa stress kwa wanawake bila kusahau utapeli wa wengine, anayekosa hela ya rejesho lazima adange
Mkatae aiseeee..mm Kuna mmoja NILIMWAZIMA 60k,Mana alianza na 2kilo.nikamakataaa nikampa 60k BAADA ya wiki moja AKATUMA 40k..... Juz anataka nimuazimishe 150k..... Sms take Hadi leo sijaifunguaKuna mke wa rafk yangu skuiz kaanza kuniomba nimkopeshe hela ya rejesho alaf badae ananirudishia huko tunapo elekea sijui kama kutakua salama
Mmh dadaHakuna uhusiano kati ya umalaya na umaskini /utajiri...hivyo mimi ndivyo ninavyojua
Tena hadi wanahonga kabisaWake za matajiri hawagegedwi?
Naam kaka...heshima yako kwanzaMmh dada
NashangaaTena hadi wanahonga kabisa