Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
- Thread starter
-
- #121
Mruhusu tu Muha akatishe katishe kwako utakuja kuanzisha Uzi hapa. Mwanamke kisaikolojia tu ni kwamba hapaswi kuzoeana na mwanaume yeyote ukimuondoa mume wake.Hao waha wanashida gani?
Nawewe unataka ujiunge VICOBA ili uwamimine?Ulichokuwa unawafanyia ni nini mkuu, hebu tupe mbinu ulijihakikishiaje unyevu yani? Ulikuwa unawakopesha au unafanyaje?
Nawewe unataka ujiunge VICOBA ili uwamimine?
Acha hizo, kwani kuna test unataka ukajibie.Hahahah nataka niongeze elimu tu kupitia mbinu za kijemedari alizotumia mwamba.
Babu umenikomalia kinomaAcha hizo, kwani kuna test unataka ukajibie.
Sema tu unataka kuwamung'unya
Acha tamaaa mkuu mpende uliyenayeBabu umenikomalia kinoma
sawa mzee babaAcha tamaaa mkuu mpende uliyenaye
itakua hana anaempenda mkuy, nyie mpeni tu hizo mbinu.Acha tamaaa mkuu mpende uliyenaye
Haya matabia hata sina[emoji15][emoji15][emoji849]
Eti "unyevu"[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ulichokuwa unawafanyia ni nini mkuu, hebu tupe mbinu ulijihakikishiaje unyevu yani? Ulikuwa unawakopesha au unafanyaje?
we mjanja basiπ nmekubaliHaya matabia hata sina[emoji15][emoji15][emoji849]
Sipendi vicoba asee, kwani siwezi tunza hela mwenyewe!
unyevu unyevu unatesa wahuniπEti "unyevu"[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Chizi kweli wewe
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji849]Mruhusu tu Muha akatishe katishe kwako utakuja kuanzisha Uzi hapa. Mwanamke kisaikolojia tu ni kwamba hapaswi kuzoeana na mwanaume yeyote ukimuondoa mume wake.
Ha haunyevu unyevu unatesa wahuni[emoji23]
πππππ af huwez amini inakujaga tuHa ha
Mineno unaitoaga wapi?
Na mimi naomba niwe rafiki ako, ila stokuvua kyupi...pls[emoji4][emoji15][emoji15][emoji15][emoji849]
Tusiwe na marafiki sasa? Japo wanatongoza kinoma lakini akili yako bana
Ukweli ni kuwa ukishakuwa na marafiki wa kiume ni lazima wakutongoze, tena hii hawakopeshi! yaan mwanaume urafiki hivi hivi hataki, ila tunakomaa nao hivo hivo kibishi bila kuvuana vyupi!
Ila watatu nimewapoteza, yaan hata salamu hawataki baada ya kukomaa mishe ziwe urafiki tu!
Kuna huyu mwingine mmoja ni rafiki yangu kitambo, nadhani nae naenda kumpoteza maana juzi kati kaning'ang'ania kwenye ngazi ( eti uvumilivu umemshinda na jumamosi hii anasubiri simu yangu niamue moja anile urafiki uendelee au nimnyime akate mawasiliano na nisimsemeshe[emoji26][emoji26][emoji26])
Nadhani kitu urafiki mwanaume kwa mwanamke huwa mnashindwa[emoji848]
hahah Mambo ya kuitana shemeji shemeji nani anataka arifu?Watu wanataka wapate utelezi tu.[emoji15][emoji15][emoji15][emoji849]
Tusiwe na marafiki sasa? Japo wanatongoza kinoma lakini akili yako bana
Ukweli ni kuwa ukishakuwa na marafiki wa kiume ni lazima wakutongoze, tena hii hawakopeshi! yaan mwanaume urafiki hivi hivi hataki, ila tunakomaa nao hivo hivo kibishi bila kuvuana vyupi!
Ila watatu nimewapoteza, yaan hata salamu hawataki baada ya kukomaa mishe ziwe urafiki tu!
Kuna huyu mwingine mmoja ni rafiki yangu kitambo, nadhani nae naenda kumpoteza maana juzi kati kaning'ang'ania kwenye ngazi ( eti uvumilivu umemshinda na jumamosi hii anasubiri simu yangu niamue moja anile urafiki uendelee au nimnyime akate mawasiliano na nisimsemeshe[emoji26][emoji26][emoji26])
Nadhani kitu urafiki mwanaume kwa mwanamke huwa mnashindwa[emoji848]
Kinachoniuma ni kwamba wale watembeza vyombo wanakuwa na vumbi la Congo kwenye kidocho πMkuu mke wangu hua anakopa sana vyombo kwa waha vipi wanaweza kumla kimasihara?
Uliona wapi Simba na Swala ni marafiki?πππ Wanaume walivyo wahuni hata Chiku keto pamoja na u Tom Boy lakini kuna wahuni wanampiga ukuni![emoji15][emoji15][emoji15][emoji849]