Hela ya mchezo na marejesho ndio chanzo cha wadada wengi kuliwa kiulaini siku hizi

hahah Mambo ya kuitana shemeji shemeji nani anataka arifu?Watu wanataka wapate utelezi tu.
Ila sio fair

Mi naumia coz nikichagua rafiki mwanaume napata benefits nyingi sana tofauti na ushost[emoji26]

Wanaume Wana mbinu mbalimbali za kukufundisha jinsi ya kuboost kipato, tofauti kabisa na wadada full umbea, sipendi[emoji57]

Ila ndio nae mwanaume anatarget K asee[emoji24][emoji24]
 
Endelea kujifunza mambo positive kwao, ila hyo K waiache ipumue asee.
 
Ha ha ha mna exceptionality asee

Huyu nayewambia katoa altamatum ya jumamosi, ilibidi niokote gongo la kumdunda ili abehave ( tulikuwa yard ya magari so hakukuwa na population) eti nataka nikubebe nikakufiche kule nyuma ya contena[emoji16][emoji16] afu yuko serious

Ha ha ha usipomjua mwanaume kitakachoumia ni via vya uzazi
 
Asa we unadhani na vile huko nyuma umejibeba mie nakuachaje aki? Lazma nichape hio mbota 😂
 
Hahah pole mkuu na hapo ndipo ule msemo wa men are from mars women are from Venus unapokuja kukamilika sasa.
 
Kuna siku ilikua j mos nimekaa zangu hom akaja mdada mtu mzima kidogo,akanambia nimsaidie 5000 ili jion aende nayo kwenye kikoba Mana wenzake hawatamwelewa,nikamwambia utanilipa lini? Akanijibu,,,"kusema ukweli sijui nitakua nimeipata lini"

Pale pale nikaongea kiutani "unaonaje unipe hyo kitu"? akajibu,,,mmmh kwa 5000? Nikamwambia,, yeah,,, ninayo hyo hyo,akanambia ngoja niende nioge narudi,akaenda baada ya lisaa akarudi nikajipgia mzigo nikampa elfu tano yake,Nimekula mzigo karbia miez 6 nikaona mazoea yanazid ikabid nimpge chini kabla mume wake hajasoma mchezo.
 
Unakaa wapi mkuu?
 
Yes. Mimi mpaka sasa nakaa uswahili haswa. Ingawa nina mjengo wangu wa kisasa huko Mvuti. Mimi ukinikuta uswahilini unaweza ukaniona lofa tu nisiye na nyumba , gari au pikipiki but I have all of these. Uswahilini raha vitu bei poa
Kwaio uwe na kila kitu lakini bado unapenda vitu vya bei poa?
 
Teh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…