Hela ya mwanamke ni ngumu

Ndio ubavu wetu hao ,tuwavumilie tu hakuna kiumbe kingine kitakachochukua nafasi yao kwetu
 

Nimekuelewa vyema!!! Mkuu
 
Haipendezi kabisa alikosea mno
Majukumu nikusaidiana haswa mwenzio anapohitaji msaada wako
Acha tuu aisee, inaumiza sana Tena hasa kwasisi wanaume tulio na uchu wa mafanikio.....tunakutana ups and down nyingi Sasa kama umeo mwanamke wa namna hiii ....daah utaumia sana
 
Atakua huyo tu,mimi huyuhuyu nipate ela nisimpe baba watoto?
That is selfish beyond selfish word itself!
 
Hawa viumbe kusahau ni dak sifuri yani
 
Wisdom
 
Mwanamke akito hela kwenye familia mara moja Tegema maneno kama Mimi nalisha familia hapa wewe sijui hela yako unapeleka wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aaha yani balaa.. Mara utasikia akiba yangu nashndwa hata kuweka kisa majukumu ya hapaa...
 
Wanawake mnatuonea kuna matumizi tunafanya nyie wenyewe hamuyaoni

Mfano tukiamua kubadili pazia, si chini ya 700,000 kwa nyumba ya kawaida.
Au kununua mashuka ya familia , pair moja 60,000 una vitanda vingapi??
Hapo hatujaongelea vyombo vya ndani, garden na matumiz mengine ambayo nyie mnayachukulia kawaida.
Sasa ongeza na nywele, cosmetics, chakula cha familia, nguo, kitchen part, ladies outings, wine parts na vitu vingine vidogo vidogo...ndo mana hela yetu ngumuuu
 
Kuna wengine hata hayo kufanya shida
 
Mbona iko wazi kabisa mwanaume utakula kwa jasho , piga kazi baba acha kutolea macho pesa za mkeo๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ