Hela ya mwanamke ni ngumu

Hela ya mwanamke ni ngumu

Asilimia kubwa ya majukumu ya home hufanya mwanamke,sasa pesa yake waitaka ya nn tena
 
Ni kama chura kuishi kwenye maji ya moto, ata survive kwa muda tu.

Mwanamke (hasa mweusi) kumpa mwanaume hela, huwa linakuwa la muda mfupi na la lengo flani.
 
Mwanamke ana upendo wa kweli pale ambapo amechukua maamuzi yake mwenyew kukupenda bila wewe kutia sound zako,
Hapo anakukubali kwa hali yoyote ilivyo hata kama huna chochote mfukon cha kumpa
NAKAZIA.
 
Hela ya mwanamke ni ngumu kama hakupendi, yawezekana upo na mtu asiekupenda bt hujajua tu.
Lakini mbona wanawake wakigeni wanatoa tip wakija kupata huduma nchini au Mwanamke wa kibongo ukimsaidia jambo anatoa pesa, kwanini kwa wapenzi wao hawataki kutoa.
 
MAANDIKO YANASEMA MWANAUME UTAKULA KWA JASHO.. AMA UNADHANI JASHO NI JINA LA MTU
 
Back
Top Bottom