Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
Unakwama wapi?[emoji3][emoji3]Mimi za kwangu nikiwa nazo anatumia vizuri tu lakini za kwake kuzipata labda umulike na tochi hata mchana[emoji16],sijui wakoje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakwama wapi?[emoji3][emoji3]Mimi za kwangu nikiwa nazo anatumia vizuri tu lakini za kwake kuzipata labda umulike na tochi hata mchana[emoji16],sijui wakoje
Hiyo kitu haitokuja kutokea mpka mwisho wa duniaNdio maana hakutakuwaga sana usawa hata wanawake wafanye vikao 1,000 huko Beijing
Ndioo ndioooIla usizidishe ushkaji sana kwenye hela ya dem ako bhanaaa
Truehela ya mwanamke ni ngum kama hakupendi, yawezekana upo na mtu asiekupenda bt hujajua tu.
Tabia ya kichoyo hiyiIla usizidishe ushkaji sana kwenye hela ya dem ako bhanaaa
Hahahahha we mtt una balaa! Nahisi mwamba alijua jasho ni babayake mdogoMkuu soma maandiko "utakula kwa jasho"
Au unadhani jasho ni jina la mtu?
Uko sawa 90% yaani hawa wanafata maslahi tuMsizunguke tu
1.wana roho mbaya
2.hawajawahi kumpenda mtu wapi in business Sana,Kama huamini hata Kama mkeo,kwa mfano umeajiriwa,one-day Rudi toka job and tell her,nimeachishwa kazi,sikiliza yajayo.
3.sisi tu ndo tuna fall in love,Ila wao hawajawahi fall hata siku moja.
Hata awe mkeo, girlfriend,reality ndiyo hiyo,ulitaka kubisha we bisha tu,Ila one day utanikubali kimya kimya.
VikobaMkuu huwa wanapeleka wapi za kwako hizo?
Kwahiyo akajua ni "utakula kwa baba mdogo" 😁Hahahahha we mtt una balaa! Nahisi mwamba alijua jasho ni babayake mdogo
Wee ndio msema kweli. Wengine wote porojo tuu. Mwenye akili afuate huu ukweli.Msizunguke tu
1.wana roho mbaya
2.hawajawahi kumpenda mtu wapi in business Sana,Kama huamini hata Kama mkeo,kwa mfano umeajiriwa,one-day Rudi toka job and tell her,nimeachishwa kazi,sikiliza yajayo.
3.sisi tu ndo tuna fall in love,Ila wao hawajawahi fall hata siku moja.
Hata awe mkeo, girlfriend,reality ndiyo hiyo,ulitaka kubisha we bisha tu,Ila one day utanikubali kimya kimya.
Boss binafsi sijakuelewa vizuri kwa sababu mara nyingi watu wamekuwa wakisema wanawake wanapenda kweli....pia hata makala mbalimbali yanaeleza hisia za kupenda kwa mwanamke..... Sasa wewe ulivyosema wanawake hawapendi kweli yani wapo kimasilahi zaidi,kwa kweli sijakupata yani unataka utuambie wanawake hawana,hisia za upendo au hisia hizo zimehalibika kutokana safari ya maisha? Mkuu nahitaji uchambuzi wakina maana hii kesi sio mara ya kwanza kusikiaMsizunguke tu
1.wana roho mbaya
2.hawajawahi kumpenda mtu wapi in business Sana,Kama huamini hata Kama mkeo,kwa mfano umeajiriwa,one-day Rudi toka job and tell her,nimeachishwa kazi,sikiliza yajayo.
3.sisi tu ndo tuna fall in love,Ila wao hawajawahi fall hata siku moja.
Hata awe mkeo, girlfriend,reality ndiyo hiyo,ulitaka kubisha we bisha tu,Ila one day utanikubali kimya kimya.
Tatizo hatujui jasho anaishi wapi tukale kwake.Mkuu soma maandiko "utakula kwa jasho"
Au unadhani jasho ni jina la mtu?
Woii,.zina mambo mengi jomoniiTabia ya kichoyo hiyi