Hela ya mwanamke ni ngumu

Hela ya mwanamke ni ngumu

Msizunguke tu
1.wana roho mbaya
2.hawajawahi kumpenda mtu wapi in business Sana,Kama huamini hata Kama mkeo,kwa mfano umeajiriwa,one-day Rudi toka job and tell her,nimeachishwa kazi,sikiliza yajayo.
3.sisi tu ndo tuna fall in love,Ila wao hawajawahi fall hata siku moja.
Hata awe mkeo, girlfriend,reality ndiyo hiyo,ulitaka kubisha we bisha tu,Ila one day utanikubali kimya kimya.
 
Uko sawa 90% yaani hawa wanafata maslahi tu
 
Kuna mwamba kasema hupendwi naomba uongee nae vizuri.

Kiufupi Hawa wanawake walikuwa radhi waibe kwao wakuletee eti wamefika kwenye ndoa ndio wawe wanyimi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro stuka umeoa mke wa mtu
 
Mwanamke pesa yake ikifanya jambo katika kushirikiana nawe huwa inamuuma sana utazani maendeleo ni ya watu baki kumbe ni yenu hawa wa hivi wapo, all in all nashauri mwanaume achana na swala la kuuliza pesa ya mwanamke tumeumbiwa kupambana, mkeo/mchumba wako akitaka kusaidia basi iwe kwa hiari yake na sio kwa manung'uniko
 
Mwili wa mwanamke ni sehemu ndogo ya mwili wa mwanaume asilimia mia...

So usiumize kichwa juu ya mwanamke...

Cha mwanaume kikiliwa na mwanamke kimeliwa na mwili mmoja no pains no stress full starehe tu..

Na cha mwanamke kikiliwa na mtoto wake,kimeliwa na mwili mmoja no pains no stress full starehe..

Hujaelewa wapi...?
 
Msizunguke tu
1.wana roho mbaya
2.hawajawahi kumpenda mtu wapi in business Sana,Kama huamini hata Kama mkeo,kwa mfano umeajiriwa,one-day Rudi toka job and tell her,nimeachishwa kazi,sikiliza yajayo.
3.sisi tu ndo tuna fall in love,Ila wao hawajawahi fall hata siku moja.
Hata awe mkeo, girlfriend,reality ndiyo hiyo,ulitaka kubisha we bisha tu,Ila one day utanikubali kimya kimya.
Wee ndio msema kweli. Wengine wote porojo tuu. Mwenye akili afuate huu ukweli.
 
Msizunguke tu
1.wana roho mbaya
2.hawajawahi kumpenda mtu wapi in business Sana,Kama huamini hata Kama mkeo,kwa mfano umeajiriwa,one-day Rudi toka job and tell her,nimeachishwa kazi,sikiliza yajayo.
3.sisi tu ndo tuna fall in love,Ila wao hawajawahi fall hata siku moja.
Hata awe mkeo, girlfriend,reality ndiyo hiyo,ulitaka kubisha we bisha tu,Ila one day utanikubali kimya kimya.
Boss binafsi sijakuelewa vizuri kwa sababu mara nyingi watu wamekuwa wakisema wanawake wanapenda kweli....pia hata makala mbalimbali yanaeleza hisia za kupenda kwa mwanamke..... Sasa wewe ulivyosema wanawake hawapendi kweli yani wapo kimasilahi zaidi,kwa kweli sijakupata yani unataka utuambie wanawake hawana,hisia za upendo au hisia hizo zimehalibika kutokana safari ya maisha? Mkuu nahitaji uchambuzi wakina maana hii kesi sio mara ya kwanza kusikia
 
Back
Top Bottom