Haki nilicheka acha tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi mwenyekiti una nini lakini? Eti unadhani jasho ni jina la mtu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
C.c @Espy
πππ Katibu ni muhimu kukumbusha mtuHivi mwenyekiti una nini lakini? Eti unadhani jasho ni jina la mtu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
C.c @Espy
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni kweli mwenyekiti.[emoji23][emoji23][emoji23] Katibu ni muhimu kukumbusha mtu
Baasi mimi staoaPapa upewe, na hela pia upewe. Afrika anayeoa ni mwanaume. Kama ulikuwa hujajipanga usingeoa
Haswaaa.Hela ya mwanamke ni ngumu kama hakupendi, yawezekana upo na mtu asiekupenda bt hujajua tu.
NAKAZIA.Mwanamke ana upendo wa kweli pale ambapo amechukua maamuzi yake mwenyew kukupenda bila wewe kutia sound zako,
Hapo anakukubali kwa hali yoyote ilivyo hata kama huna chochote mfukon cha kumpa
Kama wao wanavyolilia haki sawa.kimeumana, Vijana tunaanza kulilia kulelewa sasa
Kama mwenyekiti tu basi tumempataHaki nilicheka acha tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenyekiti akili zake anaziweza mwenyewe.
Hahhaha wakumbushwe kuwa jasho sio mtuπππ Katibu ni muhimu kukumbusha mtu
Lakini mbona wanawake wakigeni wanatoa tip wakija kupata huduma nchini au Mwanamke wa kibongo ukimsaidia jambo anatoa pesa, kwanini kwa wapenzi wao hawataki kutoa.Hela ya mwanamke ni ngumu kama hakupendi, yawezekana upo na mtu asiekupenda bt hujajua tu.