Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 553
- 2,266
Nilikua chuo mwaka wa 2 hivi siku 1 niko apeche alolo tia mchuzi pangu pakavu mjuba sina sapampa wala shekel na sielewi siku inaishaje na njaa inanikanda bila huruma utumbo unaunguruma tu hauelewi huko ndani usiku nimelala nahesabu miale ya taa tu na vimvuli vya watu wenye furaha waliokua wameshiba huko nje ya room wanazunguka tu wanacheka, kibishi nikalala! Kesho yake nikawa nmeamka asubuhi hostel pale najikongoja natembea floor ya chini hivi karibu na stairs za kupanda floors za juu mara naona paper nyekundu imejikunja kunja nikavunga kuikanyaga na nikazungusha macho kama kinyonga kuhakikisha hakuna alieniona..Mimi nimewahi kuokota laki tatu,..300,000 kwenye ukoka.Lengo langu halikuwa ovu kabisa nilitaka kuirudisha kwa muhusika.
Ilikuwa ni ofisini hotelini,,mimi nilikuwa mtu wa garden ila cha kushangaza kikao kilivyoitishwa kwa wafanyakazi wote,,,muhusika ilionekana ni kama ameibiwa pesa na sio tena kuangusha..na habari ikawa si laki tatu bali ni laki nne.bhas ikabidi nivunge hadi hii leo.
Mhusika alitaka ikipatikana apige cha juu kabisa!!! Sema alikutana na mwenye akiri ikamla kichwa😷Mimi nimewahi kuokota laki tatu,..300,000 kwenye ukoka.Lengo langu halikuwa ovu kabisa nilitaka kuirudisha kwa muhusika.
Ilikuwa ni ofisini hotelini,,mimi nilikuwa mtu wa garden ila cha kushangaza kikao kilivyoitishwa kwa wafanyakazi wote,,,muhusika ilionekana ni kama ameibiwa pesa na sio tena kuangusha..na habari ikawa si laki tatu bali ni laki nne.bhas ikabidi nivunge hadi hii leo.
Hela kuwa niliokota hela mbiliMimi nimewahi kuokota laki tatu,..300,000 kwenye ukoka.Lengo langu halikuwa ovu kabisa nilitaka kuirudisha kwa muhusika.
Ilikuwa ni ofisini hotelini,,mimi nilikuwa mtu wa garden ila cha kushangaza kikao kilivyoitishwa kwa wafanyakazi wote,,,muhusika ilionekana ni kama ameibiwa pesa na sio tena kuangusha..na habari ikawa si laki tatu bali ni laki nne.bhas ikabidi nivunge hadi hii leo.
Loh!!hata mia??Sijawahi aiseeeeeee
Nipe connection mkuu tule hela za masisiem matoa rushwa..Kampeni hizi tunajiokotea tu mahela
Nikiwa darasa la kwanza niliokota hela wakati naenda kwa mama mkubwa kula futari, ilikuwa ni wallet imenona ndani niliona noti nyekundu za elfu kumi na pembeni kulikuwa na funguo.Mimi nimewahi kuokota laki tatu,..300,000 kwenye ukoka.Lengo langu halikuwa ovu kabisa nilitaka kuirudisha kwa muhusika.