Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 6,350
- 11,727
Hajasema pesa ilikuwa yakeMimi nimewahi kuokota laki tatu,..300,000 kwenye ukoka.Lengo langu halikuwa ovu kabisa nilitaka kuirudisha kwa muhusika.
Ilikuwa ni ofisini hotelini,,mimi nilikuwa mtu wa garden ila cha kushangaza kikao kilivyoitishwa kwa wafanyakazi wote,,,muhusika ilionekana ni kama ameibiwa pesa na sio tena kuangusha..na habari ikawa si laki tatu bali ni laki nne.bhas ikabidi nivunge hadi hii leo.
Hela ya kuokota unasemaje Yako?