hatuishi milele
Member
- Mar 13, 2025
- 84
- 114
USD 50 jengo la TPA kwenye lifti
Aaah! UDOM tena [emoji23] life la pale acha kabisa enzi hizo sitaki hata kulikumbuka, kulikua na juice zile zinaitwa "FURSANA" daah sijui kama bado zipo ila lile life na hizi juice mpaka zilitukoma kmmke [emoji2] labda madogo wa sasa hivi wanasoma kwa bata na Boom linawahi kuingia kwenye account...Umenikumbusha mkasa wangu UDOM 2012. Njaa karibia iniue.....and God gave me food from the toilet yaani ndani ya choo kabisa.
Aisee sitosahau Ile njaa