Hajasema pesa ilikuwa yakeMimi nimewahi kuokota laki tatu,..300,000 kwenye ukoka.Lengo langu halikuwa ovu kabisa nilitaka kuirudisha kwa muhusika.
Ilikuwa ni ofisini hotelini,,mimi nilikuwa mtu wa garden ila cha kushangaza kikao kilivyoitishwa kwa wafanyakazi wote,,,muhusika ilionekana ni kama ameibiwa pesa na sio tena kuangusha..na habari ikawa si laki tatu bali ni laki nne.bhas ikabidi nivunge hadi hii leo.
Hela ya kuokota unasemaje Yako?
Nilijua tu ipo siku nitampata aliyeniibia pesa yangu.Mimi nimewahi kuokota laki tatu,..300,000 kwenye ukoka.Lengo langu halikuwa ovu kabisa nilitaka kuirudisha kwa muhusika.
Ilikuwa ni ofisini hotelini,,mimi nilikuwa mtu wa garden ila cha kushangaza kikao kilivyoitishwa kwa wafanyakazi wote,,,muhusika ilionekana ni kama ameibiwa pesa na sio tena kuangusha..na habari ikawa si laki tatu bali ni laki nne.bhas ikabidi nivunge hadi hii leo.
Mkuu hiyo 40,000 yako ndio pesa niliokota siku ile. Na ndio pesa kubwa nimewahi kuokota.Kiasi kikubwa nilichowai kuokota ni 6,000😂😂,kiasi kikubwa cha hela nilichowai kupoteza ni 40,000 hiyo hela inaniuma mpaka kesho😅.
(Out of topic) kuna siku mzee alikuwa anantumia hela wakala akazidisha zero ikaja 300k ,siku nyingine tuko nyumbani mara pap muamala umesoma m1 ikaingia kwenye simu ya maza kumbe kakosea maza akamrudishia ile ela yote,hiyo ilikuwa 2012 nadhan nikasema kama ingekuwa ni mimi na kipindi icho huwezi kurudisha muamala niishie hapa😂😂
Duuh! Weka namba ya simu au Lipa Number wadau tukuchangie upate kula, usije kukufa njaa bure...Kwa jinsi nilivyoishiwa na ambavyo Sina hata mia mbovu ndani natamani hata niokote elfu Moja ya kula Leo siku ipite
Hamukusachiwa? Ulizificha wapi kabla hujaenda kwenye kikaoMimi nimewahi kuokota laki tatu,..300,000 kwenye ukoka.Lengo langu halikuwa ovu kabisa nilitaka kuirudisha kwa muhusika.
Ilikuwa ni ofisini hotelini,,mimi nilikuwa mtu wa garden ila cha kushangaza kikao kilivyoitishwa kwa wafanyakazi wote,,,muhusika ilionekana ni kama ameibiwa pesa na sio tena kuangusha..na habari ikawa si laki tatu bali ni laki nne.bhas ikabidi nivunge hadi hii leo.
Cha kuokota sio cha kuiba mkuu, wakati mwengine mungu hukuletea riziki kwa njia yake anayoijua yeye, mimi binafsi nikiokota kitu labda nijue anaemiliki ni mtu mwenye shida sana kuliko mimi ndio nitarejesha, vyenginevyo nachikichia kama hakuna kilichotokeaHela ya kuokota unasemaje Yako?
Duuh! Sema hizi bahati za kwenye laini za simu huwa nadra sana kuzipata, katika watu 100 unaweza pata 1 au wawili...Sijui kama ina qualify kama kuokota ila kuna line ya airtel niliisajili 2023, nahisi ilikuwa awali inatumiwa na mtu wa CCM. Maana kila mara huingi msg za CCM aidha za taarifa ya vikao ama kuhamasisha mambo ya chama.
Huwa inatokea mara kadhaa inaingia pesa na kuambatana na msg kuwa pesa imetumwa toka makao makuu.
Pesa kubwa niliowahi kupokea toka kwenye hiyo line ilikuwa ni 500,000 kipindi cha uchaguzi wa serikali za mitaa.
Ila elfu 50 50 nishapokea nyingi sana.
Japo siku za hivi karibuni ni kama imekauka, sasa sijui jamaa kaamua kuunga mkono No reform no election[emoji1787]
dohhh😂😂Mkuu hiyo 40,000 yako ndio pesa niliokota siku ile. Na ndio pesa kubwa nimewahi kuokota.
Mzee mafia🤣🤣🤣🤣10,000/= hiyo nikiwa dogo, nimetumwa dukani asubuhi, kufika nyumba 3 toka home 10K hiyo, na akili za kitoto nikaona ni pesa ndefu sana, nafika geto, mzee akasema ni yake, alipoteza 10K, ikala kwangu.
Ila kuna muda maisha yanatupitisha pagumu sana, kuna siku nilikuwa sina hata mia mbovu, michongo yote imefeli na jua ndio lilikua linamalizikia kuzama kuna sauti ikaniambia tembea tembea na pitia barabara tofauti na uliyoizoea kupita(huwa naisikiliza sana sauti yangu ya ndani na nikiipuza huwa najutia), nikatoka zangu sijafika mbali nikaona tsh elfu tano chini, nilijiona nimerudishwa kwa uhai. Ile ela ilinisaidia kwa siku 3.Nilikua chuo mwaka wa 2 hivi siku 1 niko apeche alolo tia mchuzi pangu pakavu mjuba sina sapampa wala shekel na sielewi siku inaishaje na njaa inanikanda bila huruma utumbo unaunguruma tu hauelewi huko ndani usiku nimelala nahesabu miale ya taa tu na vimvuli vya watu wenye furaha waliokua wameshiba huko nje ya room wanazunguka tu wanacheka, kibishi nikalala! Kesho yake nikawa nmeamka asubuhi hostel pale najikongoja natembea floor ya chini hivi karibu na stairs za kupanda floors za juu mara naona paper nyekundu imejikunja kunja nikavunga kuikanyaga na nikazungusha macho kama kinyonga kuhakikisha hakuna alieniona..
Baada ya kuhakikisha usalama uko poa, nikaiokota nikaweka mfukoni bila kujua kwanza ni shingapi nikajiacha mbali na lile eneo nisije kua suspected huenda alie angusha angerudi... nikazama toi kwanza kuhakiki ni TZS ngapi, nikakunjua ni kama 13k (TZS 13,000) nikashukuru Mungu nimepata pocket money ya kunipush siku kadhaa mbele..
And that was my last chance kuokota hela na ndiyo ilikua hela kubwa katika maisha yangu naokota chini mpaka leo, almost 8-10 yrs imepita sijawahi pata zali kama hilo hata 500 tu sijawahi okota zaidi ya mie kupoteza... [emoji12] Karma is real and her other name is a b!tch..
Umenikumbusha mkasa wangu UDOM 2012. Njaa karibia iniue.....and God gave me food from the toilet yaani ndani ya choo kabisa.Nilikua chuo mwaka wa 2 hivi siku 1 niko apeche alolo tia mchuzi pangu pakavu mjuba sina sapampa wala shekel na sielewi siku inaishaje na njaa inanikanda bila huruma utumbo unaunguruma tu hauelewi huko ndani usiku nimelala nahesabu miale ya taa tu na vimvuli vya watu wenye furaha waliokua wameshiba huko nje ya room wanazunguka tu wanacheka, kibishi nikalala! Kesho yake nikawa nmeamka asubuhi hostel pale najikongoja natembea floor ya chini hivi karibu na stairs za kupanda floors za juu mara naona paper nyekundu imejikunja kunja nikavunga kuikanyaga na nikazungusha macho kama kinyonga kuhakikisha hakuna alieniona..
Baada ya kuhakikisha usalama uko poa, nikaiokota nikaweka mfukoni bila kujua kwanza ni shingapi nikajiacha mbali na lile eneo nisije kua suspected huenda alie angusha angerudi... nikazama toi kwanza kuhakiki ni TZS ngapi, nikakunjua ni kama 13k (TZS 13,000) nikashukuru Mungu nimepata pocket money ya kunipush siku kadhaa mbele..
And that was my last chance kuokota hela na ndiyo ilikua hela kubwa katika maisha yangu naokota chini mpaka leo, almost 8-10 yrs imepita sijawahi pata zali kama hilo hata 500 tu sijawahi okota zaidi ya mie kupoteza... [emoji12] Karma is real and her other name is a b!tch..
Mkuu ata mimi Mzee wangu alikua anatoka ndani anaenda kunywa pombe bahati nzuri akaangusha elf kumi mlangoni nikaiokota nilivyokua mjinga nikamwambia Mama akaichuka amkampa Baba nilijilaumu nikasema bora ninge tulia ningeenda kununua nguo tu.Nikiwa darasa la kwanza niliokota hela wakati naenda kwa mama mkubwa kula futari, ilikuwa ni wallet imenona ndani niliona noti nyekundu za elfu kumi na pembeni kulikuwa na funguo.
Nikampa mama mkubwa akanambia nisiseme. Akaficha ile hela hakunipa hata buku sasa sijui zile funguo alizirudisha. Ningejua ningeuliza tu mwenye nazo angepatikana ilikuwa sehemu ya madukani.