Aaah! UDOM tena [emoji23] life la pale acha kabisa enzi hizo sitaki hata kulikumbuka, kulikua na juice zile zinaitwa "FURSANA" daah sijui kama bado zipo ila lile life na hizi juice mpaka zilitukoma kmmke [emoji2] labda madogo wa sasa hivi wanasoma kwa bata na Boom linawahi kuingia kwenye account...
Nmepakumbuka kule "ujasi" kule Ng'ong'ona aka Ng'ox back in 2016 hiyo daah!