Hela yote ya Dubai kaichukua, mtu kategwa kategeka mtego waaa!

Hela yote ya Dubai kaichukua, mtu kategwa kategeka mtego waaa!

Status
Not open for further replies.

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Hili jukwaa linaloheshimika sana !

Bwana mkubwa wa hapo beirut Kachukua maamuzi na ku freeze Pesa yooote ya Mauzi ambayo ilikuwa kwenye bank Dubai, account imekuwa freezed kwa maagizo ya Serikali ya Beiruti

Nimekumbuka kwenye corridor fulan tulikuwa tunaongea kwa Makamu wa Ufalmeni hapo beirut, nikauliza hivi mbona hawa watoto wanandharau Mkubwa kiasi hiki? Mmoja akaniambia ogopa mtu wa namna Hiyo anasubiria akuchinjie pazuri anachukua hela na cheo hupati….

Kuweka nyaraka binafsi za mtu hapa bila ruhusa ya jukwaa si ruhusa one day I will share !!

Pitia pia
👇🏾


Britanicca!!
 
Watakaoweza kuelewa hapa ni wale waliosoma Cuba tu

Sisi wengine tumeshindwa ku-decode🙌
Mauzi - uzi kubwa za kufungia hasa ukiwa mwezi wa kwanza.

Beirut ni sehemu ambayo Chifu pekee wa kike nchi ile aliwaambia wale kwa urefu wa kamba zao. Sasa huyo Mauzi akakata kamba akala akiba ya kumtosha kugombea uchifu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom