Yaani hamlipwi mishahara au?au hizo shekel za kujikimu ni nje ya salary?Wakuu uzima upo kwenu.?
Leo niseme kero tuliyo nayo waajiriwa wapya wa ajira za afya kwa mwaka 2022. Viongozi wetu mbona hatuwaelewi inakuaje mtu aliye pangwa kituo cha kazi toka mwezi wa 6 mpaka leo hajapewa pesa ya kujikimu.?
Kuna mikoa kama kagera kuna wilaya bado hatujapewa hela za kujikimu, kuna mkoa wa mara na halimashauri zake hawajapewa pesa za kujikimu. Hili lina tupa picha ya jinsi msivyo jali wafanyakazi. Mtu anaripoti mwezi wa 6 afu mpaka mwezi wa 9 huu hajapewa hela za kujikimu. Nimetaja mikoa miwili ninayo jua kuwa bado hawajapewa hela za kujikimu. Kagera na Mara. Kuhusu halimashauri ni zote hasa za pembeni. Kwa mara ni halimashauri ya butiama na musoma vijijini bado.
Mkuu embu nieleweshe hapaNa hizo hela zipitisheni tu kwa njia ya bank. Mikononi mwa hawa watu wa halimashauri nasikiaga wanazidokoa hasa za nauli.
Mshahara ni malipo ya mwezi kwa muajiriwa na hela ya kujikimu ni pesa unayopewa ya kuanzia maisha kituoni kwako kabla mshahara haujakufikia. Sasa jiulize tumekaa miezi miwili kazini ila.mshahara nao mwezi ule wa 7 hatukupewa tumelipwa mwezi wa 8 hiyo wengibtulikua likizo ya sensa afu umepangwa mbali hela imeishia kwenye nauli na madeni tumerudi vituo vya kazi hakuna hela za kujikimu bado. Sijui ni 80000 au 100000 kwa mara 7 na nauli ulizotumia wanasema unarudishiwaMkuu embu nieleweshe hapa
Hawajapewa hela ya kujikimu ukimaanisha mshahara au kuna mshahara na pesa ya kujikimu pembeni ila mshahara wanapata
Kweli hili. Chukulia maadam hana kitanda wala pakulala maana hz hela hatuja pewa akakaribishwa geto kwa mtu kujistiri ana achwa kweliHata mm namjua dogo mmoja ni mwalimu mpya wilaya ya Mkalama,Singida analia njaa sana.
Wapeni pesa zao kama mmeshindwa waambieni warudi makwao wakalime na kufuga.
Mnachangia mabinti wa kike kunyanduliwa bila breki.
Hua jumla ni shilingi ngapi mnapewa mkuuMshahara ni malipo ya mwezi kwa muajiriwa na hela ya kujikimu ni pesa unayopewa ya kuanzia maisha kituoni kwako kabla mshahara haujakufikia. Sasa jiulize tumekaa miezi miwili kazini ila.mshahara nao mwezi ule wa 7 hatukupewa tumelipwa mwezi wa 8 hiyo wengibtulikua likizo ya sensa afu umepangwa mbali hela imeishia kwenye nauli na madeni tumerudi vituo vya kazi hakuna hela za kujikimu bado. Sijui ni 80000 au 100000 kwa mara 7 na nauli ulizotumia wanasema unarudishiwa
Hawa wazoefu wanatuambia inatofautiana kwa halimashauri wanasema mfano waliopo mjini inakua kubwa kuliko waliopo halimashauri za pembeni ya miji na majiji. Exactly sijajua ni kiasi gani nahisi his tu wanavyosema kama 80k mara 7 wengine 100k mara 7 hivyo hapo sipaelewiHua jumla ni shilingi ngapi mnapewa mkuu