DOKEZO Hela za kujikimu kwa waajiriwa wapya ziko wapi 2022

DOKEZO Hela za kujikimu kwa waajiriwa wapya ziko wapi 2022

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sensa wapi bwana uzembe tu wa hawa viongozi wetu. Toka wiki iliyopita baadhi ya halimashauri wanjibu hela zipo tayari ila mpaka muda huu watu hawajalipwa. Wanafanya nini kwenye hzi ofc za umma. Kuwajibika ni jukumu lao. Mazoea kwenye ofc za umma hatari
Hayo ni maneno ya wanasiasa......pesa labda kuanzia october huko...
 
Kweli baadhi ya mikoa mfano Arusha....sasa kama wilaya yako ina wapigaji wa kutosha hapo ndipo tatizo hadi itolewe fixed account ni miaka na mikaka
Kwa kweli. Hili jambo linaleta utata saana hawa watu awana huruma. Zaidi ya wiki ya 2 sasa wakifutwa wanasema pesa zishakuja mbona haziwafikii walengwa.
 
Yaani hamlipwi mishahara au?au hizo shekel za kujikimu ni nje ya salary?
Kama ni nje,Bora zifutwe,posho,pesa za safari,
Unapoanza kazi unalipwa subsistence allowance ambayo ni posho ya kujikimu ya siku 7 ili uweze kuanza maisha wakati unasubiri your first salary
 
Na tunawaomba selikari yetu pendwa iangalie hawa watndaji wa halimashauri watu tumeibiwa pesa zetu. Watu tumekatwa 150k juu kwa juuu. Yaani hii nchi dhuluma na unyonyaji na ubadhurifu utaisha lini ikiwa wenye vyeo ndo wanaongoza kutuibia. Una mwibia mtu wa ajira mpya ambae hana alichotunza ww umekaa kwenye ajira miaka kadhaa afu una mdhulumu mhanga. Zipo hakimashauri acha biwasiliana na wahanga nita ziandika hapa kwa herufi kubwa
 
Back
Top Bottom