Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani ....maana mkoani lindi sijasikia wilaya yeyote waliyolipwa ata hapo mtwara..Wamesha walipa waajiriwa ila kuna wengi wanalalamika hela zimemegwa
Labda kulingana na ukubwa wa transportation fees....ila mikoa ya nyuma ya tz bado...Nipo muleba wametulipa vizuli angalau kitu cha 900k ila wapo wenzetu butiama wamelipwa 695000 hii inakubalika wapi