Adolph Jr JF-Expert Member Joined Nov 5, 2016 Posts 5,950 Reaction score 9,511 Sep 25, 2022 #41 Hii serikali haina kiongozi. ....huyu SSH yupo UK anatafuta bwana wa kidhungu......
Lil bees Senior Member Joined May 17, 2022 Posts 143 Reaction score 158 Sep 25, 2022 Thread starter #42 Adolph hitler jr said: Hii serikali haina kiongozi. ....huyu SSH yupo UK anatafuta bwana wa kidhungu...... Click to expand... Wamesha walipa waajiriwa ila kuna wengi wanalalamika hela zimemegwa
Adolph hitler jr said: Hii serikali haina kiongozi. ....huyu SSH yupo UK anatafuta bwana wa kidhungu...... Click to expand... Wamesha walipa waajiriwa ila kuna wengi wanalalamika hela zimemegwa
Adolph Jr JF-Expert Member Joined Nov 5, 2016 Posts 5,950 Reaction score 9,511 Sep 25, 2022 #43 Lil bees said: Wamesha walipa waajiriwa ila kuna wengi wanalalamika hela zimemegwa Click to expand... Sidhani ....maana mkoani lindi sijasikia wilaya yeyote waliyolipwa ata hapo mtwara..
Lil bees said: Wamesha walipa waajiriwa ila kuna wengi wanalalamika hela zimemegwa Click to expand... Sidhani ....maana mkoani lindi sijasikia wilaya yeyote waliyolipwa ata hapo mtwara..
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Sep 25, 2022 #44 Mitano tena
Lil bees Senior Member Joined May 17, 2022 Posts 143 Reaction score 158 Sep 26, 2022 Thread starter #45 Adolph hitler jr said: Sidhani ....maana mkoani lindi sijasikia wilaya yeyote waliyolipwa ata hapo mtwara.. Click to expand... Nipo muleba wametulipa vizuli angalau kitu cha 900k ila wapo wenzetu butiama wamelipwa 695000 hii inakubalika wapi
Adolph hitler jr said: Sidhani ....maana mkoani lindi sijasikia wilaya yeyote waliyolipwa ata hapo mtwara.. Click to expand... Nipo muleba wametulipa vizuli angalau kitu cha 900k ila wapo wenzetu butiama wamelipwa 695000 hii inakubalika wapi
Adolph Jr JF-Expert Member Joined Nov 5, 2016 Posts 5,950 Reaction score 9,511 Sep 26, 2022 #46 Lil bees said: Nipo muleba wametulipa vizuli angalau kitu cha 900k ila wapo wenzetu butiama wamelipwa 695000 hii inakubalika wapi Click to expand... Labda kulingana na ukubwa wa transportation fees....ila mikoa ya nyuma ya tz bado...
Lil bees said: Nipo muleba wametulipa vizuli angalau kitu cha 900k ila wapo wenzetu butiama wamelipwa 695000 hii inakubalika wapi Click to expand... Labda kulingana na ukubwa wa transportation fees....ila mikoa ya nyuma ya tz bado...