Hela zimesharudi mtaani?

Ukweli ni kuwa, mzunguko umekuwa mdogo zaidi kuliko hata kipindi cha JPM.

Hii ni kutokana na kupanda kwa bei ya bidhaa na huduma. Mambo yamekuwa magumu zaidi.

Hakuna hela yeyote.
Mikakati ya chini ya kapeti elimu bure imefutwa ,makinikia yanatoka kama zamani mafisadi wanapeta hawalipj kodi kama mwanzo ,sasa kuziba pengo la ufisadi lazima masikini akamiliwe kwa tozo na ada na michango mbalimbali kwenye elimu
 
Mi naona hali ndiyo imekuwa mbaya kabisa bora mwanzo tu
Acha uongo wewe ni sukuma gang...unasemaje hali imekuwa ngumu zaidi wakati kikwete katoka kitambi kabisa na kunenepa [emoji1787][emoji1787]mara tu baada ya magu kufariki wacha uongo
 
Kichwa chako hakiko poa, so hujui kuwa haya yote ni kwa sababu yake?
 
Wew ni chizi au masikini
 
Miss utalii anachoweza ni kutalii tu. Nothing more
MAZEE VIPI BANA, JPM MLISEMA ANAOGOPA KUSAFIRI BORA AJE MWINGINE ATEMBEZE BAKULI, HAYA NA MAMA NAYE SAFARI KIDUCHU TU MMESHINDWA KUVUMULIA?
 
Magufuli alikuwa anajitahidi kuiweka nchi katika njia sahihi lakini nadhani lengo hilo lilimletea maadui wengi sana. Watanzania tulizowea sana kupata hela ambazo zinatakokana na matendo haramu kama wizi wa hela za umma, au malipo ya serikali yasiyokuwa halali, au malipo ya serikali yasiyokuwa lazima. Sasa hivi mama akitaka kuleta zile za kikwete atapata wakati mgumu sana kwani miradi ya magufuli inayomsubiri ni mikubwa sana kuweza kuchezea hela za umma, Inaweza ikamshinda.
 
anauchezanmwingi Sana mama,tulieni kwanza ndo kwanza half time[emoji23][emoji23].hakuna pesa za kuzoa bulebule bila kufanya kazi halali.
 
Umepata bilioni ngapi miezi mitatu iliyopita? Kwa hiyo kelele ya kodi ya miamala ya nini tena.
Sijapata chochote mkuu kutokana na hilo kwani sina biashara huko wala mahusiano
 
Kwa vile madawa yamerudi mitaani na pesa zitarudi hakuna shida
 
Hoja ya kipumbavu pia kutoka kwa asiye mchumi. Ambaye hujui Ni vp monetary and fiscal policy/measures zinavyooperate.

Jiridhishe pia tofauti ya mzunguko wa hela kiuchumi na ujazo wa hela kiuchumi utajua watu hoja yao ilikuwa Ina mashiko au laa.
 
Hoja ya kipumbavu pia kutoka kwa asiye mchumi. Ambaye hujui Ni vp monetary and fiscal policy/measures zinavyooperate.

Jiridhishe pia tofauti ya mzunguko wa hela kiuchumi na ujazo wa hela kiuchumi utajua watu hoja yao ilikuwa Ina mashiko au laa.
Kamanda ushaokota shi’ngapi mtaani?
 
Inatakiwa elaborate plan kuweka pesa kwa kila mfuko wa Mtanzania, nasikia kiwanda cha Urafiki kimeanza kuchapa kanga, kulipa madeni, naona hata nyanja itapanda bei, wachache bidhaa za viwandani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…